Mi nashangaa watu ndo wanaanza kuona mapungufu ya Mkude leo. Wakati ndo mchezo wake miaka yote. Yaani ukitaka mkude ang'ae ni mpaka umpange na mtu wa kumkabia. Sasa hiyo biashara nani anataka! Yaani yeye ni asimame tu katikati ya uwanja, apige pass huku apige pass kule.. Basi! Tunaweka mtu ambae hana mchango wowote kwenye timu. Mi muda aende sasa