Pongezi kubwa sana kwa jamii forums.

Pongezi kubwa sana kwa jamii forums.

dimaa

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
4,174
Reaction score
5,658
Habari waungwana, ni katika mfululizo na mwendelezo wa harakati za kimaisha na kimaendeleo. Leo nimekuja na hili la kuipongeza mitandao ya kijamii, hususani jf , huu mtandao kiukweli umenifanya nionekane ni mtu tofauti sana. Ni kutokana kiukweli kukutana na watu wanaojua kutengeneza hoja madhubuti kabisa na wenye uelewa wa mambo kiundani zaidi, kuanzia kiuchumi, kisiasa, kimichezo, kiutamaduni, kidini na kimapenzi.

Ila jaribuni tu kurekebisha baadhi ya vitu kama, kuna baadhi ya kazi za wadau zinaibiwa na baadhi ya vyombo vya habari, notifications wengeni hatuipati, hadi hapo tutafikia lengo letu.


Nawasilisha.


By


Young

Dimaa.
 
Inaonesha umeandika kutafuta kiki hayatoka ndani ya nafsi kabisa haya maneno ukadhani ukisifia ndio utajipatia likes kama facebook
 
Hapa ndio penyewe mkuu, habari zote nzuri utazipata hapa.. Ashukuriwe JF Founder
 
Back
Top Bottom