dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,174
- 5,658
Habari waungwana, ni katika mfululizo na mwendelezo wa harakati za kimaisha na kimaendeleo. Leo nimekuja na hili la kuipongeza mitandao ya kijamii, hususani jf , huu mtandao kiukweli umenifanya nionekane ni mtu tofauti sana. Ni kutokana kiukweli kukutana na watu wanaojua kutengeneza hoja madhubuti kabisa na wenye uelewa wa mambo kiundani zaidi, kuanzia kiuchumi, kisiasa, kimichezo, kiutamaduni, kidini na kimapenzi.
Ila jaribuni tu kurekebisha baadhi ya vitu kama, kuna baadhi ya kazi za wadau zinaibiwa na baadhi ya vyombo vya habari, notifications wengeni hatuipati, hadi hapo tutafikia lengo letu.
Nawasilisha.
By
Young
Dimaa.