Pongezi kwa baadhi ya Wamaasai

Pongezi kwa baadhi ya Wamaasai

Ukute wamepangwa, maana hii nchi ilivyo ya kipumbavu sio ya kuiamini haraka haraka.
 
Kwenye hoja ya kuzaliana mimi naona msingi wake ni kwamba NCA ni fixed area, since walivyolitangaza kuwa ni conservation area kwa mara ya kwanza wakati wa ukoloni to-date. Au huwa wanapanua hilo eneo la uhifadhi mara kwa mara? On the other hand, watu humo ndani wamekuwa wanaongezeka na am sure sensa ya mwaka huu itaonyesha wameongezeka. Sasa tofauti na maeneo mengine, watu wamekuwa na tabia ya kuhama na kwenda kutafuta maisha sehemu mbalimbali nchini. Mfano ukienda Katavi leo hii utakuta wasukuma wengi sana, na kuna vijiji wamevi dominate. So kwa maoni yangu humo ndani hifadhini kuna kundi ambalo limekuwa linakandamizwa na huo mfumo...so hao kwa nionavyo kuhamia kwingine ni much better...
Shukran mkuu kwa kumjibu huyo mtu. 👏🏻👏🏻👏🏻
 
Wewe ni mpuuzi mmoja ambae unataka muachwe hapo ili hali sheria za nchi zinaeleweka. Serikali ikikuambia hama lazima uhame tena mnaa kubembelezwa what..? Watu mara na mtwara walihamishwa bila kubembelezwa kama nyie wamasai. Utake usitake unahamishwa. Na hakuna kitu utafanya zaidi ya kuhamishwa

Utahamishwq kwa lazima mmasai wewe na hakuna kitu utafanya. Eti ngoro ngoro ni ya wamasai unasemaje..? 🤣🤣🤣 ardhi yote ya Tanzania ni mali ya serikali mkuu. Usinichekeshe
Mkuu acha kupoteza muda wako, huyo jamaa ni mmoja wa wamasai wa Kenya ambao walikuwa wanaishi katika nchi yetu bila vibali, pia walitumia sana ardhi yetu kulishia mifugo yao, wengine walilima na mavuno kuyapeleka Kenya, wengine waliingia na kufanya biashara ya ujangili nk. Kwahiyo wanaona sasa hivi wakiamishwa kwanz huko watapopelekwa itakuwa rahisi kujulikana kuwa sio watanzania, lkn pia ile chance ya kutumia ardhi yetu kulisha mifugo yao na kufanya ujangili watakuwa hawana huko Handeni, ndo maana unamuona kashupaza shingo licha ya kwamba watu wengi wanamshangaa hapa jukwaani.
 
Nimemsoma vizuri saana. Ila kanichekesha eti na wanyama wanazaliana nao wahamishwe 😂😂😂 mpuuzi sana huyo jamaa.
 
Nimemsoma vizuri saana. Ila kanichekesha eti na wanyama wanazaliana nao wahamishwe 😂😂😂 mpuuzi sana huyo jamaa.
Kachanganyikiwa na maamuzi ya serikali mkuu, sio yeye. Sasa hivi anawaza wapi atapokuwa anaenda kulisha mifugo yake, maana serikali ya kwao Kenya huwa haicheki na kima linapokuja swala la ardhi. Lakini pia ardhi yao ni ya ukame sio kama yetu, so lazima jamaa apagawe na aandike maneno yasioeleweka.
 
Wamasai wenyewe huku mjini ni matajiri mbona?

Wanaanzisha NGO's kama ilivyo PINGO'S forum tangu miaka ya 90 na wanapiga sana pesa.
 
Kachanganyikiwa na maamuzi ya serikali mkuu, sio yeye. Sasa hivi anawaza wapi atapokuwa anaenda kulisha mifugo yake, maana serikali ya kwao Kenya huwa haicheki na kima linapokuja swala la ardhi. Lakini pia ardhi yao ni ya ukame sio kama yetu, so lazima jamaa apagawe na aandike maneno yasioeleweka.
Hatariii
 
Hayo machache juu ni moja ya kinzani za hoja za washabiki wa Uangamizaji wa Wamasai. Je ulishwahi kusikia wao wakilalama na muingiliano na Wanyama hao....kwa zaidi ya karne ziliotupita wengi wetu?
Laiti ungejua ni masai wangapi wamepoteza maisha kwa kupigwa na Tembo kuliwa na Simba nk nadhani ungeelewa kwanini inatakiwa watoke uko maana wakiendelea kukaa itazidi kua mbaya zaidi kwasababu ya idadi yao kuongezeka
 
Nyie mnaolaumu masai wanaondoka, kwaiyo mnataka waendelee kuishi land moja na wakina nyumbu na tembo!!! Hivi mnawatakia heri kweli!!! Waacheni wamasai wakaishi na binadamu wenzao huko handeni,,, raha sana, nawatamani mno aise.
 
kuna mnyama mweny hati ya eneo lolote hapo NCA
Ha ha ha we nae sijui unatumia nini kichwani sasa mnyama na hati wapi na wapi mnyama yeye porini ndio kwao sasa kama unataka kujua kama wana hati au hawana io kazi nakuachia ha ha ha
 
Wajf wengi humu hawajui kama wamasai waliopo Ngorongoro ni geresha tu, hao jamaa wamejitoshereza kwa kila kitu, yaani kule polini ni sehemu ya kuhifadhia mifugo na kujineemesha kutokana na hifadhi

Maasai hao wamewekeza sana Arusha mjini, karatu na Loliondo, wana majumba, magari na mifugo mingi sana na baadhi yao wamesoma na wana elimu ya juu, ila wanawatumia wale walioitwa primitive kujineemesha kimaisha/kiuchumi

👉🏾Kaa chonjo.
Sio wote mkuu wamewekeza na kujineemesha.
 
Laiti ungejua ni masai wangapi wamepoteza maisha kwa kupigwa na Tembo kuliwa na Simba nk nadhani ungeelewa kwanini inatakiwa watoke uko maana wakiendelea kukaa itazidi kua mbaya zaidi kwasababu ya idadi yao kuongezeka
Sawa, lakini hiyo hoja sijawahi kusikia kutoka kwa Wamasai. Sijasikia kuwa hiyo ni moja ya sababu za msingi. Sipati jibu, na yanaongeza maswali....hata hivyo inaonyesha au ina maana hizo sababu walimezeshwa tu
 
Wewe ni kiazi. Kwemye hifadhi ya wanyama wakuhamishwa ni mnyama au binadamu..? Hembu fikiria tena mkuu. Umeandika utopolo mno. Wanyama hata wazaliane hapo wakizidi wakuchinjwa watachinjwa sawa. Au hujui kuna mabucha ya nyama pori.?
Niite chochote, haubadilishi ufahamu wangu hata ukiwa una utopolo. Sioni hoja ya kujadiliana na ufinyu wake huo....Mabucha ya wanyama???
 
Wewe ni mpuuzi mmoja ambae unataka muachwe hapo ili hali sheria za nchi zinaeleweka.
Sheria zipi hizo?
Sheria zinazopuuzwa na Serikali?
ikiwa na pamoja na kukaidi amri ya kukataza wasiendelee na mchakato huo zilizotolewa na Mahakama? Nani mpuuzi?
Serikali ikikuambia hama lazima uhame tena mnaa kubembelezwa what..? Watu mara na mtwara walihamishwa bila kubembelezwa kama nyie wamasai. Utake usitake unahamishwa. Na hakuna kitu utafanya zaidi ya kuhamishwa
Kitaeleweka tu. Time will tell.
Utahamishwq kwa lazima mmasai wewe na hakuna kitu utafanya. Eti ngoro ngoro ni ya wamasai unasemaje..? 🤣🤣🤣 ardhi yote ya Tanzania ni mali ya serikali mkuu. Usinichekeshe
Yeeero wee jichekeshe tu. Sidanganyiki.
 
Sheria zipi hizo?
Sheria zinazopuuzwa na Serikali?
ikiwa na pamoja na kukaidi amri ya kukataza wasiendelee na mchakato huo zilizotolewa na Mahakama? Nani mpuuzi?

Kitaeleweka tu. Time will tell.

Yeeero wee jichekeshe tu. Sidanganyiki.
Rudi kwenu Kenya sawa wewe sio mtz. Kitaeleweka wewe kufurushwa urudi Kenya. Tuue hifadhi kisa nini.?
 
Niite chochote, haubadilishi ufahamu wangu hata ukiwa una utopolo. Sioni hoja ya kujadiliana na ufinyu wake huo....Mabucha ya wanyama???
Akili huna mkuu. Samahani.lakin.
 
Back
Top Bottom