Pongezi kwa baadhi ya Wamaasai

Pongezi kwa baadhi ya Wamaasai

Mkuu,
Umang'ang'ania "Wanazidi kuzaliana" kama vile ni jambo baya. Umeshajiuliza au kujadili na Hao "wanyama" wanaozaliana huko nao Wahamishwe?

Unashabikia utalii wakati hakuna hoja yeyote ile iwe ya Serikali, ya Viongozi, Jumuiya za kimataifa ambayo inadai kuwa Uhamisho wao ni kwa faida ya Utalii.

Una yako/yenu. msije mkaja kutalii mafuvu.

Amani ikufikie

Wacha uongo. Stop the Disinformation. Stop the Misinformation. and STOP the GENOCIDE.
Hapa ulijibu nini..? yaani nikae nijiulize wanyama na binadamu nani wa kuhamishwa ndani ya hifadhi ya wanyama .? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom