Pongezi kwa mashabiki wa Simba

Mmepata kocha mzuri,tulizeni akili na msikilizeni atawavusha........mkileta mbwembwe zenu za kutimua makocha kila siku......kuweni na uvumilivu

Guvu moya πŸ˜€
Huyu angekua anafukuzwa ungeshaona siku nyingi..huyu atakaa na uzuri wanaelewana na mgunda so hakuna yale mambo ya kuviziana
 
Huyu angekua anafukuzwa ungeshaona siku nyingi..huyu atakaa na uzuri wanaelewana na mgunda so hakuna yale mambo ya kuviziana
Nyie hamna uvumilivu kuanzia uongozi hadi mashabiki,we subiria Azam bahati nzuri wawasapraizi mtwara utaona mtakavyoreact
 
Sema mashindano ya CAF kombe la waliofeli aka vilaza
Kuna watu waligikia mpaka hatua ya kuroga, ili wafuzu hatua inayofuata! Na mwisho wa siku waliishia tu kupigwa faini ya dola elfu 10, na pia kutolewa!

Halafu leo unaliita kombe la watu waliofeli aka vilaza!!
 
Duuu! Jamaa unaroho ya ujasili sana. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hiyi tuseme mmesgakubali kubiduliwa kila mkifika quater final? Basi sawa hongera zenu.
Leteni hayo maua tumemwenyesha yule mnaemwogopa
Tabiri zenu za kufungwa dozens of goals zimeyeyuka
 
Kuna watu waligikia mpaka hatua ya kuroga, ili wafuzu hatua inayofuata! Na mwisho wa siku waliishia tu kupigwa faini ya dola elfu 10, na pia kutolewa!

Halafu leo unaliita kombe la watu waliofeli aka vilaza!!
Kwani Simba ndo walio liita kombe la loosers au ni msemaji wenu leo tena mnaikana kauli yenu wenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…