Pongezi kwa mashabiki wa Simba

Pongezi kwa mashabiki wa Simba

Kuna watu waligikia mpaka hatua ya kuroga, ili wafuzu hatua inayofuata! Na mwisho wa siku waliishia tu kupigwa faini ya dola elfu 10, na pia kutolewa!

Halafu leo unaliita kombe la watu waliofeli aka vilaza!!
Nani alianza kuliita kombe la losers??
 
Simba Sports Club
One Team, One Dream
Simba Nguvu Moja, Ipo Imara Sana Imepiga Hatua Kubwa

Pongezi Kwa Wote, Wamefanya Vema Vema
 
Kwani Simba ndo walio liita kombe la loosers au ni msemaji wenu leo tena mnaikana kauli yenu wenyewe?
Yanga tuna ofisa habari, anayeitwa Ali Kamwe. Hatuna msemaji.
 
Hata kuangalia sitaangalia itanitolea ladha ya Ligi ya mabingwa [emoji38] [emoji38] wale Rivers wanaocheza kama wa mchangani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mechi ikianza ntakutag
 
Title: pongezi kwa mashabiki wa simba
Content: wanayanga kumuogopa wydad 😁
 
Back
Top Bottom