Pongezi kwa mchungaji Dkt. Geodavie kwa kuchangia maendeleo ya wana kisongo na Arusha kwa ujumla

Pongezi kwa mchungaji Dkt. Geodavie kwa kuchangia maendeleo ya wana kisongo na Arusha kwa ujumla

Tajiri wa matajiri

Senior Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
166
Reaction score
649
Dkt. Geodavie pongezi ziende kwakao aisee kwa kuchangia maendeleo kwa Wana kisongo na wana Arusha tunakupongeza Sana endelea na moyo huyo huyo baba.Geodavie wa kanisa la geodavie ministry mtu mwema sana na mpenda maendeleo watu habagui dini wala kabila mtu yoyote mwenye shida yeye anamsaidia, hongera sana mchungaji geodavie

Hivi mtu gani wa Arusha anaechangia maendeleo zaidi Arusha zaidi ya geodavie? Hayupo japo mchungaji geodavie ni tajiri lakini yeye habagui anaongea na mtu yoyote yule awe tajiri wala masikini yeye anaongea nae na kuwatatulia shida zao sio mayatima,wajane,na masikini wote anawasaidia aisee!

Hongera tajiri,Dr.na mchungaji geodavie....
 
Back
Top Bottom