Pongezi kwa Mkenya aliyemwandikia Raila hotuba hii

kiswahili katika ubora wake:
mimi nasema anayemuandikia BABA post za kiswahili kwenye page yake ya facebook sio mkenya.anayebisha na abishe.
9e24e848a3b9b539676ab1312f475ad5.jpg
a6caa4f1749397d09be324d986397cf4.jpg
8c058778ac0d6dd9b0699bbdbdd576f3.jpg
 
kweli uyu aliyeandika ni MTZ kabisaaa hakuna mkenya anaandika ivi wana words zao zinazowatofautisha na sisi hata maprofesa wa kiswahili Kenya haandiki ivi

Wewe unajinadi kujua uandishi wa Kiswahili, hebu soma upya ulichoandika hapa.
 
Hiyo sio makala (documentary) hiyo ni hotuba (speech) pia insha (dictation) inafundishwa elementary schools nyie mpaka chuo mnajifunza insha?
insha sio dictation. kujifanya unajua sana matokeo yake ndo hayo. inshs ni composition. mi nimesoma kwa hawa jamaa. swala la elimu tujilinganishe nao kabisa especially ile ya msingi na sec. wapo vzr hata kwenye kiswahil wapo very organized. sis tuna matatiz ya r na l. za, dha na tha. hata kwenye kuongea pia ni issue. mtu anatamka mpira lakini neno la mwisho yaani ra huwezi jua kama katamka ra au la. mchukue mtoto wa darasa la 7 tz na wa darasa la 8 ke alafu wandike insha(composition) ndo utajua ukweli. tuyakubali mapungufu yetu sometimes.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Boda boda" ndiyo Kiswahili safi?

Punguani wahed.
 
Si ungesema basi dictation ni Imla ueleweke? Povu jingi mng'aro sifuri
 
insha sio dictation. kujifanya unajua sana matokeo yake ndo hayo. inshs ni composition. mi nimesoma kwa hawa jamaa. swala la elimu tujilinganishe nao kabisa especially ile ya msingi na sec. wapo vzr hata kwenye kiswahil wapo very organized. sis tuna matatiz ya r na l. za, dha na tha. hata kwenye kuongea pia ni issue. mtu anatamka mpira lakini neno la mwisho yaani ra huwezi jua kama katamka ra au la. mchukue mtoto wa darasa la 7 tz na wa darasa la 8 ke alafu wandike insha(composition) ndo utajua ukweli. tuyakubali mapungufu yetu sometimes.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikusahihishe kitu kidogo!

Ukisema "Sisi tuna matatizo ya L na R, za na dha" sio sahihi! Ulitakiwa kusema baadhi yetu wana matatizo hayo (ambayo kiuhalisia sio matatizo).

Suala hilo linatokana na asili zetu ambapo baadhi ya makabila hawawezi kutamka vizuri herufi L badara yake wanatumia L.

Hata kenya japo kuna makabila machache lakini utofauti wa kimatamshi upo!
 
Back
Top Bottom