Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Sio tete mkuu, sema kila mtu kuna lugha aliyozoea kuitumia!
Na je, ukiwa unaishi kwenye mazingira ambamo lugha yenyewe haizungumzwi katika uhalisia wake? Kwahivyo, sidhani ni mazoea, ni mazingira ya eneo ulikokulia.
Mtoto mtanzania mwenye umri wa miaka tano akija huku Kenya, itachukua miezi michache tu aanze kusahau ile Kiiswahili chake cha kibongo, vv for mtoto kutoka Kenya akihamishwa Tanzania.