Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Asanteni nyote mlionisahihisha, yametosha jameni.hilo=hiyo
Ni kweli kabisa mkuuWanasema hivyo maana wao wanafanya direct translation ya English to swahili!
kweli uyu aliyeandika ni MTZ kabisaaa hakuna mkenya anaandika ivi wana words zao zinazowatofautisha na sisi hata maprofesa wa kiswahili Kenya haandiki ivi
Yeye mwenye anatumia kiswahili cha kuungaunga.Hiyo sio makala (documentary) hiyo ni hotuba (speech) pia insha (dictation) inafundishwa elementary schools nyie mpaka chuo mnajifunza insha?
kupitipitia bango ndio nini?Kwanza humu JF ukiingia na kupitipitia bango zenu...
ndio × ndiyo √kupitipitia bango ndio nini?
insha sio dictation. kujifanya unajua sana matokeo yake ndo hayo. inshs ni composition. mi nimesoma kwa hawa jamaa. swala la elimu tujilinganishe nao kabisa especially ile ya msingi na sec. wapo vzr hata kwenye kiswahil wapo very organized. sis tuna matatiz ya r na l. za, dha na tha. hata kwenye kuongea pia ni issue. mtu anatamka mpira lakini neno la mwisho yaani ra huwezi jua kama katamka ra au la. mchukue mtoto wa darasa la 7 tz na wa darasa la 8 ke alafu wandike insha(composition) ndo utajua ukweli. tuyakubali mapungufu yetu sometimes.Hiyo sio makala (documentary) hiyo ni hotuba (speech) pia insha (dictation) inafundishwa elementary schools nyie mpaka chuo mnajifunza insha?
nilikuwa nalitafuta hili neno. na insha ni composition mkuu.Dictation ni Imla sio insha.
jamani √Asanteni nyote mlionisahihisha, yametosha jameni.
Dah! Kiswahili lugha tete balaa.
Si ungesema basi dictation ni Imla ueleweke? Povu jingi mng'aro sifuriinsha sio dictation. kujifanya unajua sana matokeo yake ndo hayo. inshs ni composition. mi nimesoma kwa hawa jamaa. swala la elimu tujilinganishe nao kabisa especially ile ya msingi na sec. wapo vzr hata kwenye kiswahil wapo very organized. sis tuna matatiz ya r na l. za, dha na tha. hata kwenye kuongea pia ni issue. mtu anatamka mpira lakini neno la mwisho yaani ra huwezi jua kama katamka ra au la. mchukue mtoto wa darasa la 7 tz na wa darasa la 8 ke alafu wandike insha(composition) ndo utajua ukweli. tuyakubali mapungufu yetu sometimes.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeipata wapi hii?ndio × ndiyo √
Hajui kiswahili huyo akiongea umsikie kwa sauti unaweza kushangaa kuandika bila sauti ndio kunampa kikiYeye mwenye anatumia kiswahili cha kuungaunga.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hajui kiswahili huyo akiongea umsikie kwa sauti unaweza kushangaa kuandika bila sauti ndio kunampa kiki
Sio tete mkuu, sema kila mtu kuna lugha aliyozoea kuitumia!Asanteni nyote mlionisahihisha, yametosha jameni.
Dah! Kiswahili lugha tete balaa.
Aina hicho [emoji735]Wakenya wengi tu wana uwezo wa kuandika kiswahili aina hicho, mimi nikiwemo mmoja wa magwiji wa lugha hili huku Kibera.
Naomba nikusahihishe kitu kidogo!insha sio dictation. kujifanya unajua sana matokeo yake ndo hayo. inshs ni composition. mi nimesoma kwa hawa jamaa. swala la elimu tujilinganishe nao kabisa especially ile ya msingi na sec. wapo vzr hata kwenye kiswahil wapo very organized. sis tuna matatiz ya r na l. za, dha na tha. hata kwenye kuongea pia ni issue. mtu anatamka mpira lakini neno la mwisho yaani ra huwezi jua kama katamka ra au la. mchukue mtoto wa darasa la 7 tz na wa darasa la 8 ke alafu wandike insha(composition) ndo utajua ukweli. tuyakubali mapungufu yetu sometimes.
Sent using Jamii Forums mobile app