Iconoclastes
JF-Expert Member
- May 26, 2014
- 4,091
- 2,511
Sio tete mkuu, sema kila mtu kuna lugha aliyozoea kuitumia!
Okjamani √
huo ndio ukweli tusudanganyane. call a sped a sped not a big spoon.Naomba nikusahihishe kitu kidogo!
Ukisema "Sisi tuna matatizo ya L na R, za na dha" sio sahihi! Ulitakiwa kusema baadhi yetu wana matatizo hayo (ambayo kiuhalisia sio matatizo).
Suala hilo linatokana na asili zetu ambapo baadhi ya makabila hawawezi kutamka vizuri herufi L badara yake wanatumia L.
Hata kenya japo kuna makabila machache lakini utofauti wa kimatamshi upo!
kwenye makabrashaUmeipata wapi hii?
bmkubwa tangu siasa za makinikia na kasi ya jpm ikuache nyuma,umekuwa mpole sana siku hizi kama maji ya mtungini."Boda boda" ndiyo Kiswahili safi?
Punguani wahed.
Umekosea.kwenye makabrasha
Lugha hii na si hiliKosa ulilofanya ni hili hapa
"Wakenya wengi tu wana uwezo wa kuandika kiswahili aina hicho, mimi nikiwemo mmoja wa magwiji wa lugha hili huku Kibera"
Thanks sikuona hilo kosa, huyu jamaa hajui Kiswahili
Nikisema inategemeana na ulivyozoea mantiki yake ni kuwa mazingira ndo yamechangia!Na je, ukiwa unaishi kwenye mazingira ambamo lugha yenyewe haizungumzwi katika uhalisia wake? Kwahivyo, sidhani ni mazoea, ni mazingira ya eneo ulikokulia.
Mtoto mtanzania mwenye umri wa miaka tano akija huku Kenya, itachukua miezi michache tu aanze kusahau ile Kiiswahili chake cha kibongo, vv for mtoto kutoka Kenya akihamishwa Tanzania.
moderators bhana....yaani mmeacha thread ime-trend karibia masaa kadhaa kwa original tittle niliyoanzishia mada, halafu baadae ndio mnakuja ku-change heading.
au ndio mlikuwa mnamuonea wivu MK254 ...lol
Mkuu bado umerudia kosa sio " kwenye hilo sentensi" ulitakiwa uandike "kwenye hiyo sentensi". Hiki ndio kiswahili cha kibongo.Sioni kosa kwenye hilo sentensi.