Tunampongeza kwa dhati,next time awe anafanya ziara za namna hii kwamba anaenda Kanda fulani anapiga mikoa 3 hivi then anarudi it makes sense 👇Pongezi nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia suluhu Hassan kwa ziara aliyoifanya katika Mikoa mitatu,ziara iliyohusisha Mkoa wa Mbeya,Njombe na Iringa kwa mfululizo bila kupumzika. Ni ziara muhimu iliyoleta matumaini zaidi kwa Watanzania.
kwa kufungua fursa zaidi ,uboreshwaji wa huduma na miundombinu sanjari na utatuzi wa changamoto na kero zilizokuwa zikiwakabili wananchi wa Mikoa husika . Maelekezo yake na ahadi zake alizozitoa zimekuwa matumaini na fursa kwa wakazi wa Mikoa hiyo na Tanzania kwa ujumla.
Huu utawala wa Rais Samia Suluhu ni neema kubwa kwa watanzania mungu aendelee kumuongoza
Acha mawazo mgando Rais Lazima apite kukagua maendeleo anayofanya na kusikiliza direct changamoto za wananchi na kuzitatua kama Rais Samia anavyofanyaUkiona anatembelea mikoa ujue kuna ziara ya nje anaiskilizia.
Aisee mama anaupiga mwingi sana Tanzania ni salama na Samia 2025 hana mpinzaniMama anatosha mpaka 2040
Sasa kama ni kawaida na ni lazima unampongeza wa nini ? Huoni ni upotevu wa resources za grey matter huenda ungezitumia vema katika fikra ya utatuzi wa changamoto ? Au ku-criticise polipopwaya ili parekebishwe ? Au all is well ?Acha mawazo mgando Rais Lazima apite kukagua maendeleo anayofanya na kusikiliza direct changamoto za wananchi na kuzitatua kama Rais Samia anavyofanya
Tanzania ni salama na Samia hatuna wasiwasi anafaya vile wananchi wanapendTunampongeza kwa dhati,next time awe anafanya ziara za namna hii kwamba anaenda Kanda fulani anapiga mikoa 3 hivi then anarudi it makes sense 👇
Tena wanaweza mala mbili ya wanaume maana mama kwa kipindi cha mwaka mmoja amefanya maendeleo makubwa sana ya kihistoria kama vile Elimu bule, amepeleka maji mpaka vijijini, umeme mpaka vijijini, pia ameboresha sekta ya afya kwa kupunguza gharama za matibabuTuzidi kumuunga mkono Bibie tusimkatishe tamaa.
Wanawake wanaweza.
Sema anajitahidi,kwa maana wakati anaapishwa watu walisema maneno maneno kuwa Jinsia yake huwa hawawezi kazi ya Uongozi mkuu wa Nchi.Tena wanaweza mala mbili ya wanaume maana mama kwa kipindi cha mwaka mmoja amefanya maendeleo makubwa sana
Tatizo lenu baadhi ya watanzania hamjui mnataka nini akienda nje mnalalmika anenda nje tu sasa anafanya ziara za ndani still mnalalamikaSasa kama ni kawaida na ni lazima unampongeza wa nini ? Huoni ni upotevu wa resources za grey matter huenda ungezitumia vema katika fikra ya utatuzi wa changamoto ? Au ku-criticise polipopwaya ili parekebishwe ? Au all is well ?
Asante kwa kutufahamisha wananchi.Mungu ampe nguvu,kipenzi chetu,Mama yetu,Mama Samia.Wananchi tunamuunga mkono.Mungu ibariki Tanzania.Pongezi nyingi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia suluhu Hassan kwa ziara aliyoifanya katika Mikoa mitatu,ziara iliyohusisha Mkoa wa Mbeya,Njombe na Iringa kwa mfululizo bila kupumzika. Ni ziara muhimu iliyoleta matumaini zaidi kwa Watanzania.
kwa kufungua fursa zaidi ,uboreshwaji wa huduma na miundombinu sanjari na utatuzi wa changamoto na kero zilizokuwa zikiwakabili wananchi wa Mikoa husika . Maelekezo yake na ahadi zake alizozitoa zimekuwa matumaini na fursa kwa wakazi wa Mikoa hiyo na Tanzania kwa ujumla.
Huu utawala wa Rais Samia Suluhu ni neema kubwa kwa watanzania mungu aendelee kumuongoza
Umesema kweli tupu.Tuzidi kumuunga mkono Bibie tusimkatishe tamaa.
Wanawake wanaweza.
Mungu ampe afya,uzima.Tunampenda mama yetu,wananchi tuko pamoja naye.Tunampongeza kwa dhati,next time awe anafanya ziara za namna hii kwamba anaenda Kanda fulani anapiga mikoa 3 hivi then anarudi it makes sense [emoji116]
Umesema kweli.Acha mawazo mgando Rais Lazima apite kukagua maendeleo anayofanya na kusikiliza direct changamoto za wananchi na kuzitatua kama Rais Samia anavyofanya
Umesema kweli tupu.Tena wanaweza mala mbili ya wanaume maana mama kwa kipindi cha mwaka mmoja amefanya maendeleo makubwa sana ya kihistoria kama vile Elimu bule, amepeleka maji mpaka vijijini, umeme mpaka vijijini, pia ameboresha sekta ya afya kwa kupunguza gharama za matibabu