Pongezi kwa Rais Samia

Mungu ampe afya,uzima.Tunampenda mama yetu,wananchi tuko pamoja naye.
Amin mungu ni mwema Rais Samia ndio kiongozi bora kuwai kutokea kwanza anaupendo wa hali ya juu kwa wananchi wake hatumii nguvu ndio kitu kinafanya watanzania wamuelewe zaidi
 
Kilichobakia ni Katiba mpya na Tume huru

Halafu aitishe Uchaguzi ili ajipime kwenye uwanja huru wa Kidemokrasia, asisubiri hadi 2025.
Kila kitu kitafanyika kwa wakati wake
 
Barabara yetu ya kati Morogoro hadi Singida imeharibika sana Mama auze Ndege kadhaa fedha zielekezwe huko.
 
Acha kuanika sifa Kwa WaTanzania wepi hao?
Kuna maeneo Tanzania hii hii hawana Shule kabisa wanafunzi wanatembea mwendo mrefu kwenda Shule! Huko huko ulikotaja ukipita barabarani watoto wanatembea ya mguu kuupata Shule iwe mvua Jua lao.
Watu hawana maji Kwa karibu lakini utasikia Tumetua mama ndio kila mahali?!!!!
 
Asante kwa kutufahamisha wananchi.Mungu ampe nguvu,kipenzi chetu,Mama yetu,Mama Samia.Wananchi tunamuunga mkono.Mungu ibariki Tanzania.
Ndio maana tumepoteza mwelekeo wa Demokrasia!! Kuona kwamba hakuna mwingine matokeo yake wizi wizi wa kura na kunyanyasa wapiga kura na wagombea wao!!
 
Amin mungu ni mwema Rais Samia ndio kiongozi bora kuwai kutokea kwanza anaupendo wa hali ya juu kwa wananchi wake hatumii nguvu ndio kitu kinafanya watanzania wamuelewe zaidi
Acha kuleta upupu hapa!!
 
Tatizo lenu baadhi ya watanzania hamjui mnataka nini akienda nje mnalalmika anenda nje tu sasa anafanya ziara za ndani still mnalalamika
Siwezi kuwasemea watanzania ila binafsi naangalia results..., hata akikaa Ikulu au asipoonekana so long as mambo yanakwenda, bila kusahau value for money hizo kampeni na delegation lukuki am sure kukiwa na transparency tutagundua ni dent kubwa kwa kodi zetu...
bahati nzuri Rais Samia yeye anafanya kila kitu anachoona kinamaendeleo katika nchi yake hajari maneno yeye kazi yake ni utekelezaji tu
Naam na hilo ndio moja kati ya matatizo ya Taifa letu mtu kufanya kile anachokiona yeye kinafaa na sio Taasisi wala wawakilishi wetu waliogeuka kuwa rubberstampers na watu wenye akili zao hakuna kuhoji ni kusifia tu..., Yaani Taifa la Prima Donnas, Cheerleaders na Machawa... No Critical Thinkers

Kama taifa tunahitaji less Yes Men and Women ingawa wewe mwenzetu na wenzako wengi kama wewe tushawapoteza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…