Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Kuna muda inabidi tuseme ukweli.
Mimi nikiwa maeneo ya Ubungo huwa napenda sana kwenda kunywa bia pale Micassa pub. Lakini ile njia siku za nyuma kuanzia saa 12 na nusu jioni ilikuwa inajaa wadada poa wengi sana hata kabla giza halijaingia. Yaani na kulikuwa na harufu mbaya sana kama ya uozo hivi.
Ila toka mwamba, mzee wa kukinukisha ndani ya sekunde tu, RC wa Dar atumie fagio la chuma kule Mwananyamala basi na riverside pamesafishika. Niamini mimi hadi ile harufu ya uozo imeondoka pale.
Japo kuna wakaidi ila wanajipanga kwa kuibia ibia mida ya usiku sana.
Mwanzo niliona RC kazingua ila baada ya kuona matokea naona RC kafanya maamuzi sahihi.
Kuna watoto wa chuo walikuwa wanatoka pale Mabibo wanajopanga Riverside. Huwezi amini siku moja nilimuona pale mtoto wa rafiki yangu na nilimuita nikiwa kwenye gari akafika ile kunijua tu akageuka kurudi. Palepale nikampigia baba yake lkn alikuwa nje ya Dar. Akaniunganisha na mama yake usiku ule tukapiga dolia hadi kumpata, nilimchapa makofi huyo mtoto mbele ya mama yake mzazi.
Mnaowatetea hawa madada poa kumbukeni watoto wenu wa kike wanawaona na wanajua nayo ni kazi, wakishawafanya kiwa mentors wao ndipo mkumbuke mliwatetea.
Hongera RC wa Dar.