Pongezi kwa RC wa Dar: Umeisafisha Ubungo Riverside kwa kwa fagio la chuma ulilotumia Mwananyamala

Pongezi kwa RC wa Dar: Umeisafisha Ubungo Riverside kwa kwa fagio la chuma ulilotumia Mwananyamala

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Kuna muda inabidi tuseme ukweli.

Mimi nikiwa maeneo ya Ubungo huwa napenda sana kwenda kunywa bia pale Micassa pub. Lakini ile njia siku za nyuma kuanzia saa 12 na nusu jioni ilikuwa inajaa wadada poa wengi sana hata kabla giza halijaingia. Yaani na kulikuwa na harufu mbaya sana kama ya uozo hivi.

Ila toka mwamba, mzee wa kukinukisha ndani ya sekunde tu, RC wa Dar atumie fagio la chuma kule Mwananyamala basi na riverside pamesafishika. Niamini mimi hadi ile harufu ya uozo imeondoka pale.

Japo kuna wakaidi ila wanajipanga kwa kuibia ibia mida ya usiku sana.

Mwanzo niliona RC kazingua ila baada ya kuona matokea naona RC kafanya maamuzi sahihi.

Kuna watoto wa chuo walikuwa wanatoka pale Mabibo wanajopanga Riverside. Huwezi amini siku moja nilimuona pale mtoto wa rafiki yangu na nilimuita nikiwa kwenye gari akafika ile kunijua tu akageuka kurudi. Palepale nikampigia baba yake lkn alikuwa nje ya Dar. Akaniunganisha na mama yake usiku ule tukapiga dolia hadi kumpata, nilimchapa makofi huyo mtoto mbele ya mama yake mzazi.

Mnaowatetea hawa madada poa kumbukeni watoto wenu wa kike wanawaona na wanajua nayo ni kazi, wakishawafanya kiwa mentors wao ndipo mkumbuke mliwatetea.

Hongera RC wa Dar.
 
Zambezi bar [emoji481][emoji482][emoji1787][emoji1787][emoji1787]🪑
BAR, unaweza ukaingilia hapo BOSI KALEWA kwa kushoto mbele(karibu na wanapobeti) utakuta machuma barabarani halafu unakunja kulia au kupitia kwenye hio bar,

Hio guest ukiingia getini pale nje pana kama kokoto wamemwaga.
 
Kama taxi, bajaji ama boda inaitwa kwa simu sembuse ile bidhaa inayotembea?

Mamlaka zichukue hii fursa kuweka mifumo ya kodi maafisa burudani wachangie pato la taifa maana kuiua ile kazi ni ngumu kwelikweli
Huwezi maliza ukahaba ila unaweza punguza madhara ya vizazi vijavyo kwa kuzuia biashara hii ionekane ni ya kawaida.

Kama ikiwezekana kuonesha tu ni biashara haram hadi wahusika kufanya kwa kujificha basi huo ni ushindi tosha kabisa kama wa jana (5g)
 
Ukahaba hauwezi kushindwa kwa mfumo huo.

Swali la kujiuliza huyo bint kaacha Umalaya?
Mahitaji yake mnamtimizia?
Au ndio mmemfanya aje na advance technique?
Nyie ndo mnatetea na ushoga kwa akili hizihizi
 
Kama taxi, bajaji ama boda inaitwa kwa simu sembuse ile bidhaa inayotembea?

Mamlaka zichukue hii fursa kuweka mifumo ya kodi maafisa burudani wachangie pato la taifa maana kuiua ile kazi ni ngumu kwelikweli

Si kila mtu ana uwezo wa kulipia pisi ije na toyo.
 
Ukahaba hauwezi kushindwa kwa mfumo huo.

Swali la kujiuliza huyo bint kaacha Umalaya?
Mahitaji yake mnamtimizia?
Au ndio mmemfanya aje na advance technique?
Bora aje na advanced tech kuliko kujipanga barabarani. Wanatuharibia kizazi cha baadae.
 
Malaya hawaondolewi Kwa mtindo huo.nashauri hiyo kazi irasimishwe tupate Kodi🤣🤣🤣🤣🤣🪑
Mnampongeza RC Huku Mambo ya msingi hafanyi baadae aonekane Jiji limemshinda!! Aanzishe jitihada za kulipanga Jiji aondoke na credits aache Chip politics, Mambo ni mengi yanamuhitaji, arudi Tena soko la urafiki aone watu wanaogelea kwenye kinyesi sokoni
 
Labda waseme usifanyike hadharani, mitaani ambapo kina watoto wadogo wanapita wanaona. Lakini kukomesha ni next to impossible.

Hata wakiwakusanya kuwapeleka gereza la kilimo bado hawatalima, watasaidiwa na watalipia in kind.
 
Back
Top Bottom