Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,455
- 1,621
Ajali ya basi la Kyela express hujaisikia leo??
Wewe uko vizuri. Watu huchanganya vitu vingi. Akiksbwa na kuporwa anasema kaibiwa. Bodaboda akikimbia akajisokomeza nyuma ya daladala nayo wanaaema ni ajali...Hakuna kitu kinachoitwa ajali zimeisha kwani ajali haitabiriki na haina trendy maalum na ajali hutathminiwa kwa kipindi ulichokimaliza sio kijacho
Kauli ina utata Sana hii, mwendokasi ni zao la umbali gawanya kwa muda , speed =distance /time, manapokuwa mnahusisha mwendokasi kusababisha ajali at least muwe na figures za kudefine huo mwendokasi, maana hata 10km/h nao ni mwendokasi.Mwendo kasi ulikua unachangia wingi wa ajali zinazoweza kuepukika.
Naona umeamua tu kutoa credit the way unavyojisikia ! sio mbaya Ila at least get your facts right.Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa raisi wetu John Pombe Magufuli,kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendo kasi wa mabasi yaendayo mikoani,kwa kumulika vitochi na kuratibu mda wa kuondoka na kufika,na sasa ajali hazisikiki tena a.k.a zimekwisha.
Naomba udhibiti huo uendeleelisiwe jambo la mpito namuomba mwenyezi MUNGU azidi kuwajazia wingi wa hekima na mafanikio katika kuzitenda kazi zenu ,muendelee na kubuni mbinu zingine za kudhiti ajali za barabarani ili waTanzania tuishi maisha yenye furaha na kujiamini,asanteni sana.
Makosa ya kiuandishi,lakini unaweza kuwa msamiati mpya unaomaanisha serikali yenye rasilimali nyingi😁😁Nikaw najiuliza Serimali ndio nini?
mwendo wa kasi hapo vipiKauli ina utata Sana hii, mwendokasi ni zao la umbali gawanya kwa muda , speed =distance /time, manapokuwa mnahusisha mwendokasi kusababisha ajali at least muwe na figures za kudefine huo mwendokasi, maana hata 10km/h nao ni mwendokasi.
Sent
Tochi pamoja na kupeleka madereva NIT na ving'amuzi huu mpango ulianza wskati was awamu ya nneHamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa raisi wetu John Pombe Magufuli,kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendo kasi wa mabasi yaendayo mikoani,kwa kumulika vitochi na kuratibu mda wa kuondoka na kufika,na sasa ajali hazisikiki tena a.k.a zimekwisha.
Naomba udhibiti huo uendeleelisiwe jambo la mpito namuomba mwenyezi MUNGU azidi kuwajazia wingi wa hekima na mafanikio katika kuzitenda kazi zenu ,muendelee na kubuni mbinu zingine za kudhiti ajali za barabarani ili waTanzania tuishi maisha yenye furaha na kujiamini,asanteni sana.
We inaonekana ni wale waogapa wakupenda kusafiri mchana. Hivi ulishawai kusafiri usiku ukaona jinsi bas zinavyotembea? Ama ulishawai kupanda premiere ya mwanza to mbeya?Hamjambo wanaJamii Forum wenzangu. Napenda kuitumia nafasi hii kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi madhubuti wa raisi wetu John Pombe Magufuli,kwa kutilia mkazo kudhibiti mwendo kasi wa mabasi yaendayo mikoani,kwa kumulika vitochi na kuratibu mda wa kuondoka na kufika,na sasa ajali hazisikiki tena a.k.a zimekwisha.