Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani.
Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio akili kubwa na hakika Simba bingwa NBC premier league 2024/25 .
Hongera viongozi na kila la kheri mabingwa katika mchezo wa leo .