Mnajimu kutoka mbumbumbu streetSimba anashinda 2-1 na kuchukua ubingwa.
Yanga , beki wake atapigwa red -card na kuanzisha fujo.
Mpira utasimama dakika ya 78.
Mashabiki wengi wa simba mnapenda sana kucheza mpira wa mdomoni.Simba anashinda 2-1 na kuchukua ubingwa.
Yanga , beki wake atapigwa red -card na kuanzisha fujo.
Mpira utasimama dakika ya 78.
Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani.
Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio akili kubwa na hakika Simba bingwa NBC premier league 2024/25 .
Hongera viongozi na kila la kheri mabingwa katika mchezo wa leo .
Ikawaje sasa??Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani.
Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio akili kubwa na hakika Simba bingwa NBC premier league 2024/25 .
Hongera viongozi na kila la kheri mabingwa katika mchezo wa leo .
😆😆😆😆😆Simba anashinda 2-1 na kuchukua ubingwa.
Yanga , beki wake atapigwa red -card na kuanzisha fujo.
Mpira utasimama dakika ya 78.
Hii nchi ina wagonjwa wengi sana.Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani.
Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio akili kubwa na hakika Simba bingwa NBC premier league 2024/25 .
Hongera viongozi na kila la kheri mabingwa katika mchezo wa leo .
Mwasibu CPA uchwara umebadili ID?😆😆😆😆😆
Usimuogopeshe Mwasibu atabadili na hiyoMwasibu CPA uchwara umebadili ID?
Kwani wee umeona nini?Haina mvuto nini hiyo ?
Hivi Simba ndio wale wenye nguo za kijani na njano?Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani.
Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio akili kubwa na hakika Simba bingwa NBC premier league 2024/25 .
Hongera viongozi na kila la kheri mabingwa katika mchezo wa leo .
KUpata kichekesho kama hiki andika NBC cup KWENDA namba 15770😴😴😡😡😡🥳🥳😴😴😴🥳😴Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani.
Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio akili kubwa na hakika Simba bingwa NBC premier league 2024/25 .
Hongera viongozi na kila la kheri mabingwa katika mchezo wa leo .
Huyo siyo Mwasibu!Mwasibu CPA uchwara umebadili ID?
Haha 🤣 🤣 haaaaaaaaaaaa.Huyo siyo Mwasibu!
Mwasibu siku hizi eti anajiita Kipenzi Changu! Sijui alikumbwa na nini mpaka akajikuta anaipoteza ID yake ya muda mrefu kwa mtu mwingine.