Pongezi kwake Mange Kimambi

Subiri siku atakaichambua K ya Bimkubwa wako ndo utakapo gundua kuwa huyu bibi hana maana na hafai hata kidogo
 
Anacheza na akili za FUATA UPEPO.

Nazani sasa zile kashfa za kumtusi MZEE wetu ameshasamehewa.

Hata arudi kesho anapewa Medan.
 
- Na nilipokwua ninaishi majuu ilikuwaje? hahahahaa nilikuwa namtegemea nani? Na nilipokuwa baharini ilikuwaje? na kabla sijaondoka bongo ilikuwaje? Je wewe na Mange hamuwakiss kina Mbowe kuishi mlipo? hahahahahha

le Mutuz
Mi namiaka 20 ila nina uhakika sana kuwa nimekuzidi akili sana hata mdogo wangu anaakili kuliko wewe
 
Unajua nimekaa na kujiuliza hivi uwepo wa mwanadada yule machachari kule US katika zama hizi na haya yanatokea ni coincidence tu au Mungu ana makusudia yake?

Binafsi nimegundua hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya tu bali ni mpango wa Mungu kwani haya yote yanayotokea leo hii yeye alishayajua kabla hivyo akaandaa mtu wake kwa ajili ya kusaidia wengine kimawazo, kielimu,n.k katika kukabiliana na hali hii tulioyonayo leo hii.

Katika zamu hizi ambazo uhuru wa kutoa maoni na hata kuabarishana ni jambo la harari,Mungu aliona kuna umuhimu wa kuwapo mtu atakaeweza kusema kwa uhuru na ujasiri kwa niaba ya walio wengi na akamteua huyo binti na kumpa hilo jukumu.

Wako watakaohiji inakuwaje Mungu amtumie mtu mwenye lugha kali kama mwanadada yule?Jibu lao hapa ni kuwa, wakati mwingine Mungu humtumia hata shetani kutimiza alichokipanga maana ni yeye alieruhusu shetani kumjaribu mwanae mpendwa (Yesu Kristo)

Ukweli ni kwamba unaweza kuwa nje ya nchi ila ukakosa ujasiri alionao huyu dada na hata kama utakuwa na huo ujasiri basi commitment aliyonayo dada huyu mtu mwingine unaweza usiwe nayo kabisa maana kushinda mtandaoni huku kila siku unatumiwa mambo mbalimbali ya kuyaweka mitandaoni ni kazi ngumu na inahitaji kujitoa hasa.


Leo hii dada huyu kaamshe wengi hasa wakina mama ambao wengi wao ni wapenzi wa habari za udaku na si habari wanasiasa na siasa ambazo zinazogusa na kuathiri maisha yao ya kila siku moja kwa moja.

Dada huyu kafanya watu wengi zaidi wafuatile siasa;kasaidia ku-create awareness ya mambo siasa na uchumi kwa kiasi kikubwa; kasaidi watu kupata taarifa ambazo pengine wasingezipata kabisa; kawa kiungo kati ya wanasiasa na wananchi; n.k

Tukubali,tukatae;dada huyu ni mpango wa Mungu na ana msaada wa Mungu tofauti na watu wengine wanavyofikiri au kudhani.
 
Leo hii chadema inapongeza vichaa

Mmh asee sasa sijui kichaa gani ana uwezo wa kuchangisha matibabu ya lissu mliyempiga risasi hadi ikapatikana over 25,000$ wakati huo huo serikali ya mauwaji unayo isapoti haikuweza kuchangia hata senti moja, hata weweee, aibu yako
 
Hahaha kama mtu haamini Mange anaushawishi aende facebook na instagram page ya Clouds fm wameweka swali watanzania wamtaje mwanamke shupavu ,99.9% ya comments zote zaidi ya 5000 zinamtaja Mange hakuna cha uchafu wa Tulia wala Samia sijui.

Mange hoyeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…