Pongezi kwake Mange Kimambi

Wewe unasafiri bado upo mitandaoni?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sasa hivi ni saa 10:44 jioni
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Your are right but they were funded by invisible body. Je huyo anayegharimia hiyo ni nani? Heri yetu tuliwe tunajua haziendi serikalini kama zilivyokwenda za tetemeko kagera na watoto wa Arusha. Sick.
Mkuu changa nimetoa tu angalizo kabla.Najua humu humu baadaye kutkuja uzi wa kutapeliwa.
 
Umechanga?
 
Kwani hata zikichangwa zikavuka lengo unadhani kitaharibika nini?

Au umeanza kuwashwa washwa?
Kutoa lugha za kashfa kwenye mijadaala ni kipimo cha busara ndogo.Go out and learn some manners!
 
Ebana [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Hao waliochangia na majina yanaonekana lazima Bashite awamaindi
 
Alinikera paleeee!!!ALIVOKUA AKIMTUKANA MATUSI MAZITO MAZITO MH.RAIS
KUMUULIZA TU KWANN UNAMTUKANA HIVO MH RAIS??
MBALI NA CHEO CHAKE JE UNAFKIRI JAMII ITAKUELEWAJE??
KESHO KESHOKUTWA UKIJA KUWA KIONGOZI WA NGAZI YOYOTE NCHINI KWENU JE UNAFKIRI WATU WATASAHAU MATUSI ULIOYATOA??
HUONI KAMA HUYO UMTUKANAE ANAUMRI KAMA WA BABA WAKUKUZAA??
Ohoooo,,!!!kumbe kosa kumuliza ati akaniblock[emoji3][emoji3]
SASA TUFANYE AMAEKUA KIONGOZI JE ATAKUBALI USHAURI HUYU?????
 
Mimi ananifurahishaga anavyowaita watu majina
*diamond - baba dully
*zari - bibi tukinao
*magufuli - magufoolish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…