Pongezi kwake Mange Kimambi

Pongezi kwake Mange Kimambi

Alinikera paleeee!!!ALIVOKUA AKIMTUKANA MATUSI MAZITO MAZITO MH.RAIS
KUMUULIZA TU KWANN UNAMTUKANA HIVO MH RAIS??
MBALI NA CHEO CHAKE JE UNAFKIRI JAMII ITAKUELEWAJE??
KESHO KESHOKUTWA UKIJA KUWA KIONGOZI WA NGAZI YOYOTE NCHINI KWENU JE UNAFKIRI WATU WATASAHAU MATUSI ULIOYATOA??
HUONI KAMA HUYO UMTUKANAE ANAUMRI KAMA WA BABA WAKUKUZAA??
Ohoooo,,!!!kumbe kosa kumuliza ati akaniblock[emoji3][emoji3]
SASA TUFANYE AMAEKUA KIONGOZI JE ATAKUBALI USHAURI HUYU?????
Kwani ngosha anashaurika?
 
Anamtukana rais wetu matusi, rais ni icon ya taifa so kwa kumtukana tu rais anaitukana tanzania nzima akiwemo na yy sababu ni mtanzania. And rais tulimchagua kwa majority vote hivyo ni rais wa wote walomchagua na wasio mchagua. So wewe kama upo nje ya nchi then unamtukana rais, hapo unatukana taifa zima la tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rubbish
 
Hongera zake Dada yetu kwa jitihada zake nyingi za michango.
Ee Mwenyezi Mungu naomba uzidi kuimarisha afya ya Lissu. Amen
 
Kama wameguswa wachange tu,lakini wasijekulalmika baadaye,mkuu watu milioni tano wakichanga buku buku ni shillingi ngapi?hapo nimeweka buku kwa maana ya kuwa wengine watachanga na wengine hawatachanga.watakao changa sio buku buku kwa hyo wale watakaochanga laki laki wanafidia wale wasio changa.We are talking of only 5 million Tanzanians!Be ware of this opportunist!
Bora hii kuliko yale ya rambirambi na tetemeko
 
mange-1.jpg

Mange alianzisha kampeni ya kumchangia Lissu katika mtandao wa Gofundme akilenga kupata dola za Marekani 50,000 na mpaka kufikia leo saa 10.41 katika mtandao huo kiasi cha dola za Marekani 23,380 ilikuwa imepatikana ambayo ni wastani wa Sh51.3 milioni.

Kwa kweli huyu Dada amekuwa akinifikirisha sana na moyo wake wa huruma huku akiwa mstari wa mbele kupambana na ukandamizaji wa demokrasia na Uhuru wa kujieleza.

Jasho analovuja Mange Kimambi katika mapambano uhuru liwe chachu ya wanawake wote kupigani haki na sio kuwekeza nguvu kubwa kwenye umbea na majungu. Kila dakika naingia kwa Mange nacheki mambo mazuri mchanganyiko

Mange wewe ni mzuri wa sura na roho

Kwa wengine wanaopenda kuchangia wanaweza kufanya hivyo kwa kufuata njia zifuatazo;

Benki: CRDB
Jina la Akaunti: CHADEMA M4C
Namba: 01J1080100600
Tawi: MBEZI BEACH

Huhitaji kwenda Benki:
Unaweza kuchangia kwenda kwenye akaunti hiyo ya benki kupitia huduma za M-PESA au Tigo Pesa na au Airtel Money kama ifuatavyo:

1. Kuchangia kupitia M-PESA:
Piga: *150*00# chagua 6, Huduma za Kifedha, kisha chagua 2,.M-PESA kwenda Benki; kisha chagua 1, CRDB; na kisha 1, weka namba ya akaunti ambayo ni 01J1080100600. Baadaye malizia kwa kufuata maelekezo.

2. Kuchangia kupitia Tigo Pesa
Piga: *150*01# chagua 6, Huduma za Kifedha, kisha chagua 1, Tigo pesa kwenda Benki; kisha chagua 1, CRDB; na kisha 1, kuingiza namba ya kumbukumbu ambayo ni 01J1080100600. Baadaye malizia kwa kufuata maelekezo.

3. Kuchangia kupitia Airtel Money
Piga: *150*60# chagua 1, Tuma Pesa, kisha chagua 1, Tuma kwenda Benki; kisha chagua 2, CRDB Bank; na kisha 1, ingiza namba ya akaunti ambayo ni 01J1080100600
 
Back
Top Bottom