Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ngosha anashaurika?Alinikera paleeee!!!ALIVOKUA AKIMTUKANA MATUSI MAZITO MAZITO MH.RAIS
KUMUULIZA TU KWANN UNAMTUKANA HIVO MH RAIS??
MBALI NA CHEO CHAKE JE UNAFKIRI JAMII ITAKUELEWAJE??
KESHO KESHOKUTWA UKIJA KUWA KIONGOZI WA NGAZI YOYOTE NCHINI KWENU JE UNAFKIRI WATU WATASAHAU MATUSI ULIOYATOA??
HUONI KAMA HUYO UMTUKANAE ANAUMRI KAMA WA BABA WAKUKUZAA??
Ohoooo,,!!!kumbe kosa kumuliza ati akaniblock[emoji3][emoji3]
SASA TUFANYE AMAEKUA KIONGOZI JE ATAKUBALI USHAURI HUYU?????
HahahaJane go to makutano junction kuna kijiumbe chako.!
Huwezi kuona kwa sbb kichwa chako kimejaa makinikiasjaona cha ajabu na chamaana anachofanya hyu m2 had kumsifu ivo
Akili zao finyuUkitaka hadi mkeo akusaliti, akupige picha za uchi amtumie mange, kosana na Mange, sijui anawapa nini wadada,
Kwa mapunguani wenzieAna ushawishi mkubwa sana yani ni hatari sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anamtukana rais wetu matusi, rais ni icon ya taifa so kwa kumtukana tu rais anaitukana tanzania nzima akiwemo na yy sababu ni mtanzania. And rais tulimchagua kwa majority vote hivyo ni rais wa wote walomchagua na wasio mchagua. So wewe kama upo nje ya nchi then unamtukana rais, hapo unatukana taifa zima la tanzania.
Bora hii kuliko yale ya rambirambi na tetemekoKama wameguswa wachange tu,lakini wasijekulalmika baadaye,mkuu watu milioni tano wakichanga buku buku ni shillingi ngapi?hapo nimeweka buku kwa maana ya kuwa wengine watachanga na wengine hawatachanga.watakao changa sio buku buku kwa hyo wale watakaochanga laki laki wanafidia wale wasio changa.We are talking of only 5 million Tanzanians!Be ware of this opportunist!