Pongezi kwake Mange Kimambi

Mange kwenye kampeni alimpigia sana Magufuri 2015, kwa hali ilivo na anamvomsakama Magu 2020, nadhani Magu aifunge mitandao natabiri hatazuilika!!
 
Mange kwenye kampeni alimpigia sana Magufuri 2015, kwa hali ilivo na anamvomsakama Magu 2020, nadhani Magu aifunge mitandao natabiri hatazuilika!!
Kufunga haiwezekani kwa sababu alishatoa somo la kutumia VPN kama mtandao ukileta mushkeli
 
Fact ni wewe inabidi umtaje Mange ku boost ratings zako.Watanzania wameshakustukia una kiss the devils ass hili uendelee kuishi mjini

- Na nilipokwua ninaishi majuu ilikuwaje? hahahahaa nilikuwa namtegemea nani? Na nilipokuwa baharini ilikuwaje? na kabla sijaondoka bongo ilikuwaje? Je wewe na Mange hamuwakiss kina Mbowe kuishi mlipo? hahahahahha

le Mutuz
 
Kutoa Ni moyo wakuu tuchangie Ata km Una 1usd we toa tu umchangie kamanda lissu
 
Mbona hukuyasema haya alipokuwa anamtukana Lowasa wakati wa kampeni? Kawa mbaya baada ya kuvua kijani??????
Huyo kaha.ba cjawahi kumuunga mkono hata siku moja kwa matusi yake
 
Huyo kaha.ba cjawahi kumuunga mkono hata siku moja kwa matusi yake
Kumuunga nani mkona hata awe kahaba. Kumbuka huyu ndiye alikuwa kindakindaki wa kumtukana Lowasa unless hufuatilii siasa za nchi yako. She just changed her game recently kama akina Wema baada ya kuona wamecheza mchezo usio sawa. Dig deep and find out.
 
Binafsi nimependezwa na juhudi zake. Binafsi nililazamika kuungana na watanzania wenzangu kufanya kitu.

Kampeini kama hizi zikiendelezwa kwa manufaa ya taifa tutafika mbali sana.

Big up [HASHTAG]#mangekimambi[/HASHTAG] na [HASHTAG]#wemasepetu[/HASHTAG]
 
mzuri sana kwa Serikali au Jamii inayohitaji
Hata kuandika hujui polee hebu tuliza mshono huko ujifunze uandishi
 
Huyu dada anakubalika sana! Tz mpk Ulaya,America nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…