TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,830
Mda ndio kila kitu.....Hakuna mke mzuri ataachwa hivihivi, umkute yupoyupo tuuh..! Jipe muda utajua kilichomsibu mwanaume mwenzio akatimua mbio..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mda ndio kila kitu.....Hakuna mke mzuri ataachwa hivihivi, umkute yupoyupo tuuh..! Jipe muda utajua kilichomsibu mwanaume mwenzio akatimua mbio..!
Single Maza mkongwe mambo?[emoji113][emoji113] [emoji4]Mwisho wa siku sote ni binadam tuna hisia,
All the best kwenu
Naona umemficha ndugu yangu asiwe anaingia kabisa humu ".... mimi nilimtahadharisha na wanawake wa kitanga lakini hakutaka kunisikia " ona sasa umeshamuogesha kwa maji yenye maua ya asumini " na ua rose "... amepagawa hata ndugu zake ameshatusahau ..Wanaume wenzako watakuponda mkuu kuhusu ulivyozama kwa single mother jilie mema ya nchi mkuu maisha yenyewe mafupi haya
Ukipendwaa pendeka
Hahahaha mwenyewe namtafuta simuoni aliyenitekea Wick wangu haendi mbinguniNaona umemficha ndugu yangu asiwe anaingia kabisa humu ".... mimi nilimtahadharisha na wanawake wa kitanga lakini hakutaka kunisikia " ona sasa umeshamuogesha kwa maji yenye maua ya asumini " na ua rose "... amepagawa hata ndugu zake ameshatusahau ..
Wick ndugu yangu uko wapi " uwe unakuja basi hata walau utusalimu tu halafu ndio simu yako uendelee kumkabidhi huyu mwanamke
Usiniambie "!!!! hahaaa " .... mimi najua Mzigua90 hanaga hizi tabia lakini mbona wote wametoweka ghafla na mzigua anaingia humu kwa kunusa nusa ".. tu "Hahahaha mwenyewe namtafuta simuoni aliyenitekea Wick wangu haendi mbinguni
hakikisha uelei kamweWakuu za siku nyingi aisee.....
Bhana kumekuwa na thread za kuwananga hawa masingle mother kwa tabia zao za kurudi kwa wanaume walio wazalisha wanasema kukumbushia enzi.......
Bhana mdogo wenu ndio nimejikuta nimezama huko napata mapenzi 24/7 sijutii kuwa na huyu mwanamke kama wengi wenu mnavo wazungumzia......
Naapa sijawahi enjoy mapenzi kama wakati huu sijawahi kuwa na gf mwenye real love kama huyu, sijawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke anayejielewa na mwenye mawazo chanya kama huyu........
Sijawahi pata maendeleo kama niliyo nayo kwa huyu mwanamke (nimefungua biashara kwa ushauri wake)kabla ya hapo pesa angu sikujua inapoendaa nilijua na mikosi plus gundu kumbe nilikuwa sijapata mtu sahihi kwenye mahusiano.
Kusema ukweli sijawahi enjoy ngono kama wakati huu mtu wangu yupo so open sio kama vibinti vya chuo nadekezwa mie.....
Before nilikuwa najua papuchi kavu ndio nzuri lakini saivi napenda inayolowa
Huyu single mama papuchi yake inaloa hadi raha sipati tena michubuko kwenye dushe langu....
Naenjoy naona kabisa anavyofika kileleni sio zile fake organism za vibinti....
Hii iwaendee wote wanaowaponda single mothers... nyie mkiwaona wa nini kuna watu kama sie tunawahitaji...
Ha ha ha haaa, nahisi mimi nimebadilisha id[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hongera
Kuna limtu nimelimiss humu sijui limekula ban
Bro kama kuna ukwel hapoSingle mother atafanya chochote kwako ili akupate na ukishamuoa utaona rangi take halisi.
Kwanini uoe single mother na visichana vimejaa mtaani unachagua tu
Single Maza mkongwe mambo?[emoji113][emoji113] [emoji4]
Utaanyela kakomu!!!Asante kwa kutujulisha
Naam mkuuUtaanyela kakomu!!!
Hahahaaa!!!
Mmmmh ya kweli hayo? Hakuna mwanamke anayependa kulea mtoto pekee yakesijawahi kujuta wala kujilaumu kuwa single mother
Kuna mazingira au situations flan unakutana nazo ndani ya mahusian zinakulazimu iwe single mom kuliko kuendelea kubeba zigo ambalo mwisho wake ni mbaya au hata kuepelekea maradhi, na inapotea hali hiyo you have to accept it, unajikubali, una amka na kukung'uta mavumbi ,unajivika ujasiri na kuendelea na safriMmmmh ya kweli hayo? Hakuna mwanamke anayependa kulea mtoto pekee yake