Mimi ni nani hata nimuhukumu binadamu mwenzangu?

Tunapitia changamoto tofauti hivyo si vyema kusema watu vibaya. Tabia ya mtu haina uhusiano wa moja kwa moja na wanaoita 'usingle mother'

Mtoa mada enjoy your life ! (Japo uzinzi nao sio poa). Dada zangu wala msijali sana mawazo ya wajinga humu. Ishini kawaida tu na mtapata mahitaji kwa kadri Mungu alivyowapangia.

Mwisho!
Acheni watu waishi wapendavyo
 
END!
 
You nailed it boss
 
Kwa niaba ya single mazaz wa humu tunashukuru kwa kutambua umuhimu wetu.
Shati sio tisheti...ingawa vyote huvaliwa, sehemu ya mwili wa binadam kwa juu.

#kuwa na taswira nzuri au mbaya, vyote vipo mikononi mwenu.....

All in all....to be honest namuonea wivu sana mleta mada, single mother ana raha yake bhana. Naamini kwamba, brave single mother ni zawadi ya maisha marefu, kwa mwanaume mwenye akili zake timamu.

Hongera Mkuu, mleta uzi. Ila waswahili wanasema "ukishikwa, shikilia." All the best chief...
 
Thank you dear
 
So wataka kujiweka mazima au wapita tu na hapo??
 
Asante Boss
 
Kweli my nimekuelewa
 


hongera sana sana mkuu...hawaelewi hawa
 
Kweli kbs

Ni afadhali aliekubali kubeba mimba na kuzaa kuliko alietoa mimba akidhani anakuwa binti kumbe ni mama mfiwa
Sijui kwann huwa mnapenda kujifariji na hii kauli, unataka kusema ambaye amezaa maana yake hajawahi kutoa mimba?

Au mimba huwa inakuja mara moja tu?
 
Ww usijute kabisa neema ya kupata mwenzi wa maisha ipo tu. Mkumbushe MUNGU utapata mwenzi. Halafu mwanaume kama kakupenda ww kuwa na mtoto sio sababu nakuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…