omutimbasafi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 609
- 770
make it positiveSo negative
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
make it positiveSo negative
END!Mimi ni nani hata nimuhukumu binadamu mwenzangu?
Tunapitia changamoto tofauti hivyo si vyema kusema watu vibaya.
Tabia ya mtu haina uhusiano wa moja kwa moja na wanaoita 'usingle mother' .
Mtoa mada enjoy your life ! (Japo uzinzi nao sio poa)
Dada zangu wala msijali sana mawazo ya wajinga humu. Ishini kawaida tu na mtapata mahitaji kwa kadri Mungu alivyowapangia.
Mwisho!
Acheni watu waishi wapendavyo
You nailed it bossMimi ni nani hata nimuhukumu binadamu mwenzangu?
Tunapitia changamoto tofauti hivyo si vyema kusema watu vibaya.
Tabia ya mtu haina uhusiano wa moja kwa moja na wanaoita 'usingle mother' .
Mtoa mada enjoy your life ! (Japo uzinzi nao sio poa)
Dada zangu wala msijali sana mawazo ya wajinga humu. Ishini kawaida tu na mtapata mahitaji kwa kadri Mungu alivyowapangia.
Mwisho!
Acheni watu waishi wapendavyo
We hu-enjoy??
Mwisho wa siku sote ni binadam tuna hisia,
All the best kwenu
Shati sio tisheti...ingawa vyote huvaliwa, sehemu ya mwili wa binadam kwa juu.Kwa niaba ya single mazaz wa humu tunashukuru kwa kutambua umuhimu wetu.
Shati sio tisheti...ingawa vyote huvaliwa, sehemu ya mwili wa binadam kwa juu.
#kuwa na taswira nzuri au mbaya, vyote vipo mikononi mwenu.....
All in all....to be honest namuonea wivu sana mleta mada, single mother ana raha yake bhana. Naamini kwamba, brave single mother ni zawadi ya maisha marefu, kwa mwanaume mwenye akili zake timamu.
Hongera Mkuu, mleta uzi. Ila waswahili wanasema "ukishikwa, shikilia." All the best chief...
Thank you dear
So wataka kujiweka mazima au wapita tu na hapo??Wakuu za siku nyingi aisee.....
Bhana kumekuwa na thread za kuwananga hawa masingle mother kwa tabia zao za kurudi kwa wanaume walio wazalisha wanasema kukumbushia enzi.......
Bhana mdogo wenu ndio nimejikuta nimezama huko napata mapenzi 24/7 sijutii kuwa na huyu mwanamke kama wengi wenu mnavo wazungumzia......
Naapa sijawahi enjoy mapenzi kama wakati huu sijawahi kuwa na gf mwenye real love kama huyu, sijawahi kuwa kwenye mahusiano na mwanamke anayejielewa na mwenye mawazo chanya kama huyu........
Sijawahi pata maendeleo kama niliyo nayo kwa huyu mwanamke (nimefungua biashara kwa ushauri wake)kabla ya hapo pesa angu sikujua inapoendaa nilijua na mikosi plus gundu kumbe nilikuwa sijapata mtu sahihi kwenye mahusiano.
Kusema ukweli sijawahi enjoy ngono kama wakati huu mtu wangu yupo so open sio kama vibinti vya chuo nadekezwa mie.....
Before nilikuwa najua papuchi kavu ndio nzuri lakini saivi napenda inayolowa
Huyu single mama papuchi yake inaloa hadi raha sipati tena michubuko kwenye dushe langu....
Naenjoy naona kabisa anavyofika kileleni sio zile fake organism za vibinti....
Hii iwaendee wote wanaowaponda single mothers... nyie mkiwaona wa nini kuna watu kama sie tunawahitaji...
Asante BossShati sio tisheti...ingawa vyote huvaliwa, sehemu ya mwili wa binadam kwa juu.
#kuwa na taswira nzuri au mbaya, vyote vipo mikononi mwenu.....
All in all....to be honest namuonea wivu sana mleta mada, single mother ana raha yake bhana. Naamini kwamba, brave single mother ni zawadi ya maisha marefu, kwa mwanaume mwenye akili zake timamu.
Hongera Mkuu, mleta uzi. Ila waswahili wanasema "ukishikwa, shikilia." All the best chief...
Nataka jiweka mazima bossSo wataka kujiweka mazima au wapita tu na hapo??
Kweli my nimekuelewaKuna mazingira au situations flan unakutana nazo ndani ya mahusian zinakulazimu iwe single mom kuliko kuendelea kubeba zigo ambalo mwisho wake ni mbaya au hata kuepelekea maradhi,na inapotea hali hiyo you have to accept it,unajikubali,una amka na kukung'uta mavumbi ,unajivika ujasiri na kuendelea na safr
Mapenzi ni hisia. Mimi nimeoa single mother na nimezaa naye watoto wawili .Wakiume na wakike.Yeye alishazaa wa kiume kwanza.Nampenda saana.Mapenzi yetu yalianzia primary school.Nimembikiri mwenyewe.Sisi ni wapenzi wa kwanza kwa kila mmoja.Kitabu kilitutenganisha kwa kipindi fulani.Hatimaye tupo pamoja.
Kweli kbsSafiiii tena raha kuliko kuua kids wasio na hatia pind wapo tumboniii..
Sijui kwann huwa mnapenda kujifariji na hii kauli, unataka kusema ambaye amezaa maana yake hajawahi kutoa mimba?Kweli kbs
Ni afadhali aliekubali kubeba mimba na kuzaa kuliko alietoa mimba akidhani anakuwa binti kumbe ni mama mfiwa
Ww oa tu usiwachafue wanachuo, unataka wazae? walienda chuoni kusoma si kuzaaBora waliozaa kuliko hawa wanachuo wameshazika sana....
Anayo sana tu? Anataka binti wa chuo wakapalamie watu wazae tuNimegundua una allergy na vibinti vya chuo
Ww usijute kabisa neema ya kupata mwenzi wa maisha ipo tu. Mkumbushe MUNGU utapata mwenzi. Halafu mwanaume kama kakupenda ww kuwa na mtoto sio sababu nakuambia.Kuna mazingira au situations flan unakutana nazo ndani ya mahusian zinakulazimu iwe single mom kuliko kuendelea kubeba zigo ambalo mwisho wake ni mbaya au hata kuepelekea maradhi,na inapotea hali hiyo you have to accept it,unajikubali,una amka na kukung'uta mavumbi ,unajivika ujasiri na kuendelea na safr