Mmeanza sasa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nina evidence na watu kibao waliooa single mother na ni vijana ambao wao hawana watoto!!!
Inategemea hao ndugu zako wanajiwekaje,lakini Pia Mtazamo wako sio wa mtu Mwingine!! Kuna mambo mengine akili Yako na maamuzi Yako yatashindwa but si kwa Wengine!!
Siwashauri kuzaa,but watu wanaolewa wakiwa hata na watoto kibao
 
Hii ndio point yenyewe. Mtoa mada mwenyewe akipata mtoto wa kiuma alafu siku ya siku aje amtambulishe single mama kama wife to be hatakiwa na furaha.

Tusidanganyane bwana ukishakiwa single maza wee ujue kupata mwanaume wakutulia na wewe ni mwanaume ambaye naye single father.

Kama jamii tunatakiwa kupinga vikali hii mambo ya single maza. Tusiwadanganye watoto wetu wa kike kuwa its ok. Its not okay. Ata sie kaka zenu inatuuma sana hamjui tuu matusi tunayopewa na marafiki zetu
 

Hakuna anaesupport! Namimi sijasemea Kuwa ni Jambo zuri!! Ninamshauri kwa Yule ambae tayari imeshamtokea Kuwa Asikate tamaa.
Yeye Bado ni wathamani ,asijiachilie na kujirahisisha akajiona mkongwe na kujifubaza!

Kuolewa ataolewa tena kwa Ndoa na vigelegele kibao Endapo atajithamini, atajikubali na Atatulia na Mungu.

Ukishindwa wewe,wenzako wanaweza na wanafurahia Maisha yao ya Ndoa. Mnajifanya eti ikemewe wakati ninyi wenyewe ndo mnaowajaza mimba na kuwarubuni? Kwani huyo single mother alijibebesha?

Tuwashauri wadogo zetu wakiume na wa kike madhara haya but usibaki unapondea tu
 
Suala la mimba linabaki squarely kwa mwanamke. Kama mwanaume hajakwambia anataka kuzaa na wewe basi tambua kuwa hapo nikuoeana maraha tuu.

Mwanamke kama hataki kuzaa atafanya liwezekanalo kutokuoata mimba.
 
Suala la mimba linabaki squarely kwa mwanamke. Kama mwanaume hajakwambia anataka kuzaa na wewe basi tambua kuwa hapo nikuoeana maraha tuu. Mwanamke kama hataki kuzaa atafanya liwezekanalo kutokuoata mimba.
Wewe unadhani kwa umri Huo mimi nilikuwa nataka??😁😁
Acha Siasa ndugu
 
Wewe unadhani kwa umri Huo mimi nilikuwa nataka??😁😁
Acha Siasa ndugu
Unaposema kama hukutaka,unataka kusema ulibakwa?

Kama ulifanya kwa akili yako na ukapanua miguu hadi mimba ikaingia maana yake ilikuwa unajua unachokifanya. Ukizingatia ulikuwa na miaka 16-17 ulikuwa mkubwa wa kutosha acha visingizio.

Kama ulibakwa pole.
 
Single mother %90 hawataki kuolewa ila wanataka mwaume atakaye weza kuhudumia Mama na mtoto tu hawanaga mapenzi na mwanaume wanajiweka kwa mwanaume ili kupata pesa za kulea mwanae tu.
 
Single mother %90 hawataki kuolewa ila wanataka mwaume atakaye weza kuhudumia Mama na mtoto tu hawanaga mapenzi na mwanaume wanajiweka kwa mwanaume ili kupata pesa za kulea mwanae tu.
Una Uhakika na unachokisema??
Je kama ana kipato Chake na Yuko vizuri kiuchumi anamlea mwanae,hapo unasemaje??
 
Wanaume wenyewe siku hizi hata hizo mbegu zakiume wanazo basi, wamebaki kuuziwa dawa za kuongeza nguvu za kiume tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Uchokozi huo SASAπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…