Nimegundua wengi mnanionea wivu mnadhani naenda kufaidi, kwa hasira huyu mwanamke nitampeleka kwetu Tarime huko tuone atazifanyia nini degree zake
 
Halafu piq hakuna mkuryq anayekataa mtoto ama kutolipa mahari. Fahari ya ndoa kwa mila za kikurya, ni mwanaume kutoa mahari. Haijalishi umelipa kiasi gani
 
"Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?"

Huo mtazamo wako ndio utakaoua haraka mahusiano yenu ya ndoa, kama utaingia nao.
 
Huyo chukua bure tu,tena kama wazazi wake wana mtoto mwingine wa kike inabidi wakupe wa nyongeza.
 
Siuachi
 
Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?


Kwanza unaoaje limwanamke ? Tafuta mwanamke ndio uoe
 

Amka Usingizini mjomba ,utajikojolea ,Mbweni JKT unapajua? Yaani aache Kwenda Bahari Beach kuna beach za hatari aende Coco Beach Kimba?
 
Mapenzi hayana ukurya atakuwini kihisia na utakuja kulia . MKUU HII HANDICAP 2(+2) IISHIE KWENYE BETTING TU SIO KWENYE MAPENZI HATA SIKU MOJA
 
Kwani wasichana wameisha? Si useme kuwa wewe ni kula kulala anayetafuta sugamami wa kukuhifadhi baada ya kuishiwa kufikiri na ubunifu
 
Namuonea huruma mwanamke mwenzangu, maana sio kwa nyodo hizo
 
NB:-
Msimamo wangu, hatutaenda kukaa kwake Mbweni, atakuja kukaa kwangu Mwananyamala kwa Mama Zakaria.

Sistatumia gari yake, tukitaka kusafiri pamoja ni daladala au bajaji au bolt.

Vitegauchumi vyake ni vyake. Wakurya hatuzinguliwagi kiboya


[emoji3] Jiamini, sawa kakuzidi kila kitu lakini huwezi mtoa kwenye mazingira bora umlete huko uswahilini kwanza nyie mwili mmoja kwanini uanze kujitenga mapema sana

Wewe kama huna pesa au kazi cha kufanya badili gari moja usajili utumie kwa biashara, ila kama unazo pia woga wa nini kakae kwa mkeo huyo ila mimi nisingekaa sema ningetafuta apartment nzuri tungekaa hapo halafu io nyumba yake ipangishwe sio kumpeleka uswahilini huko.

[emoji3] Kuhusu mahari we lipa tu, hamna namna kwani mmewe bado yupo hai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…