Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu piq hakuna mkuryq anayekataa mtoto ama kutolipa mahari. Fahari ya ndoa kwa mila za kikurya, ni mwanaume kutoa mahari. Haijalishi umelipa kiasi ganiNdugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.
Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.
Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.
Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.
Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.
Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.
Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.
Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?
Au nyie wana nzengo mnasemaje?
NB:-
Msimamo wangu, hatutaenda kukaa kwake Mbweni, atakuja kukaa kwangu Mwananyamala kwa Mama Zakaria.
Sistatumia gari yake, tukitaka kusafiri pamoja ni daladala au bajaji au bolt.
Vitegauchumi vyake ni vyake. Wakurya hatuzinguliwagi kiboya
Akaende kumfungulia geti na kulisha mbwa
Siuachi"Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?"
Huo mtazamo wako ndio utakaoua haraka mahusiano yenu ya ndoa, kama utaingia nao.
Kikombe changu hiki. UnipunguzieAsabuhi njema.![]()
Ndugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.
Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.
Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.
Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.
Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.
Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.
Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.
Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?
Au nyie wana nzengo mnasemaje?
NB:-
Msimamo wangu, hatutaenda kukaa kwake Mbweni, atakuja kukaa kwangu Mwananyamala kwa Mama Zakaria.
Sistatumia gari yake, tukitaka kusafiri pamoja ni daladala au bajaji au bolt.
Vitegauchumi vyake ni vyake. Wakurya hatuzinguliwagi kiboya
Mapenzi hayana ukurya atakuwini kihisia na utakuja kulia . MKUU HII HANDICAP 2(+2) IISHIE KWENYE BETTING TU SIO KWENYE MAPENZI HATA SIKU MOJANdugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.
Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.
Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.
Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.
Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.
Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.
Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.
Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?
Au nyie wana nzengo mnasemaje?
NB:-
Msimamo wangu, hatutaenda kukaa kwake Mbweni, atakuja kukaa kwangu Mwananyamala kwa Mama Zakaria.
Sistatumia gari yake, tukitaka kusafiri pamoja ni daladala au bajaji au bolt.
Vitegauchumi vyake ni vyake. Wakurya hatuzinguliwagi kiboya
Kwani wasichana wameisha? Si useme kuwa wewe ni kula kulala anayetafuta sugamami wa kukuhifadhi baada ya kuishiwa kufikiri na ubunifuNdugu zanguni, Nawatakia Heri na Fanaka kwenye mwaka mpya ujao 2023.
Mimi ni kijana barobaro, nisiye na gari wala nyumba ya kifahari, wala mashamba wala degree kama nyie wenzangu mlivyo jaliwa.
Shughuli zangu ni ndogondogo na nina kiosk cha kuuza vinywaji baridi hapo Coco Beach.
Kilichonilete kwenu ni kwamba, hapa jukwaaani imetokea kupendana na binti mrembo mmoja matata sana, binti ana degree zake mbili, magari mawili, nyumba kali ya ghorofa pande za Mbweni, na watoto wake wawili.
Mimi sina nyumba, sina gari, sina elimu nona mtoto mmoja tu niliyempata ujanani.
Huyu binti ninataka kumuoa sio kwa ajili ya ufahari alionao, nataka nimuoe kwasababu nampenda sana.
Leo ndio siku ya mimi kwenda kutambulishwa kwao, na katika vitu ambavyo vitanifanya nionekane mtoto mbaya ni msimamo wangu na mtazamo wangu juu ya nadharia nzima ya mahari.
Mimi nafahamu kwamba mahari tunalipa ili kuwashukuru wazazi kwa kumlea vyema binti yao. Sasa limwanamke limezalishwa na mianaume miwili tofauti, nilipe mahari ya nini?
Au nyie wana nzengo mnasemaje?
NB:-
Msimamo wangu, hatutaenda kukaa kwake Mbweni, atakuja kukaa kwangu Mwananyamala kwa Mama Zakaria.
Sistatumia gari yake, tukitaka kusafiri pamoja ni daladala au bajaji au bolt.
Vitegauchumi vyake ni vyake. Wakurya hatuzinguliwagi kiboya
Hata angekuwa bikira ningewapa bure
Hivi ameshawahi ku practice huo uhasibu?Yupo.Mhasibu walimuibia kura zake.Walaaniwe!