It is always funny until it happens to you.Msaada wadau, moja kati ya vitu ambavyo katika maisha yangu niliplan sitokuja kuishi au kuoa mwanamke ambaye kashazilishwa..Hii leo nimempatia mimba binti wa watu ambaye kashazalishwa na wananikomalia nimuoe na sitak kumpoteza mwanangu
Mkuu ukisema hivyo unanichomaKwa unavyojua wewe mimba ni matokeo ya kujamiiana?
Kama ndivyo. Unajua njia za kuzuia mimba?
Elimu ni janga Tanzania
Hutaki single mother, kwani unamuoa ili awe mama yako? Kwanza ukimuoa hatakuwa tena single mother, kwa hiyo tatizo lako la kutooa single mother litakuwa limeisha!Msaada wadau, moja kati ya vitu ambavyo katika maisha yangu niliplan sitokuja kuishi au kuoa mwanamke ambaye kashazilishwa..Hii leo nimempatia mimba binti wa watu ambaye kashazalishwa na wananikomalia nimuoe na sitak kumpoteza mwanangu
Sawa oa tuu, kwañini hawakumkomalia huyo wa mwanzo wewe wamekuonaje? Au mimba yako ni nzuri kuliko ya huyo mume mwenzio?Msaada wadau, moja kati ya vitu ambavyo katika maisha yangu niliplan sitokuja kuishi au kuoa mwanamke ambaye kashazilishwa..Hii leo nimempatia mimba binti wa watu ambaye kashazalishwa na wananikomalia nimuoe na sitak kumpoteza mwanangu
Siku mwanaume akiweza kubalance akili yake maridadi isiingiliane na uzito wa hisia zake basi atakuwa mwanaume mwenye mafanikio tu sio tu kidunia ila hata kiutu na amani.Msaada wadau, moja kati ya vitu ambavyo katika maisha yangu niliplan sitokuja kuishi au kuoa mwanamke ambaye kashazilishwa..Hii leo nimempatia mimba binti wa watu ambaye kashazalishwa na wananikomalia nimuoe na sitak kumpoteza mwanangu
Yamekukumba yaliyonikumba mie enzi za ujana wangu. Illa wewe ulijua mimi sikujua maana alinificha kuwa amewahi kuwa na mtoto.Mkuu ukisema hivyo unanichoma
Hili siku hizi wamelifuta hawa mazafaka na wanataka kwa hali na mali lifutike mwanamke ndio awe mmiliki wa mji hawaelewi kua mtoto wa kiume kwao ndio kwao mwanamke inabidi akajenge mji wake na kibwana chake huko alipoolewaHii ni kwa sababu watoto wa kiume ndiyo "wenye miji"
Haitokaa itokee..Hili siku hizi wamelifuta hawa mazafaka na wanataka kwa hali na mali lifutike mwanamke ndio awe mmiliki wa mji hawaelewi kua mtoto wa kiume kwao ndio kwao mwanamke inabidi akajenge mji wake na kibwana chake huko alipoolewa
Mpaka mfike kujibizana hivyo utakuwa umeyataka mwenyewe!We msomeshe tu mtoto wake siku moja aje akuulize "nilikuomba?"
NI MWIKO.
Hii ni code ya enzi za mababu. Kwa zama hizi vijana hawapewi tena a,b,c za maisha, basi wanajiendea tu.
Single mama wapo toka enzi na enzi. Na walikuwa wanaolewa sana, lakini kuna miiko iliwekwa ili kutoharibu "nature of things".
Mwanaume ukioa single mama, hakikisha hana mtoto wa kiume, na kama itashindikana sana, ikatokea ni lazima umuoe, basi hakikisha huyo mtoto habebi ubini wako wala humchukui. Abaki either kwa babu zake au baba yake amchukue.
Hii ni kwa sababu watoto wa kiume ndiyo "wenye miji", hivyo ukikaribisha damu isiyo yako ndani mwako lazima ije na nguvu hasi, maana kwa vyovyote vile energy yake na yenu zitaanza kushindania utawala.
Kwa upande wa watoto wa kike, hao hawana madhara yoyote hata wakibeba ubini wako au hata ukiwalea. Watoto wa kike ni wa "miji ya watu", ikimaanisha kwamba mtoto wa kike nyumbani kwako haleti msigani wowote ule katika mambo ya nature of things.
View attachment 3260576
View attachment 3260577