Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
sijawahi kujuta wala kujilaumu kuwa single mother
Wanaume wenzako watakuponda mkuu kuhusu ulivyozama kwa single mother jilie mema ya nchi mkuu maisha yenyewe mafupi haya
Ukipendwaa pendeka
Mapenzi ni hisia. Mimi nimeoa single mother na nimezaa naye watoto wawili .Wakiume na wakike.Asante
Amefikisha ujumbe angemwitaje sasa na kweli ni single mother mwanamke wakeKitendo cha kumuita mpenzi wake single mother ameshakosea
Asante mkuuKaribu
we dogo mi mzazi mwenzie na huyo wa kiume wakwanza bado.nalàaaa check DN,aMapenzi ni hisia. Mimi nimeoa single mother na nimezaa naye watoto wawili .Wakiume na wakike.Yeye alishazaa wa kiume kwanza.Nampenda saana.Mapenzi yetu yalianzia primary school.Nimembikiri mwenyewe.Sisi ni wapenzi wa kwanza kwa kila mmoja.Kitabu kilitutenganisha kwa kipindi fulani.Hatimaye tupo pamoja.
Sure boss mapenzi ni hisia imefika mda tuache dharau single mothers....Mapenzi ni hisia. Mimi nimeoa single mother na nimezaa naye watoto wawili .Wakiume na wakike.Yeye alishazaa wa kiume kwanza.Nampenda saana.Mapenzi yetu yalianzia primary school.Nimembikiri mwenyewe.Sisi ni wapenzi wa kwanza kwa kila mmoja.Kitabu kilitutenganisha kwa kipindi fulani.Hatimaye tupo pamoja.
No hana 100%Ila mzazi mwenzake pia ana nafasi yake.
Ahahaahhahaa dahwe dogo mi mzazi mwenzie na huyo wa kiume wakwanza bado.nalàaaa check DN,a
Sijakosea boss ndio mnavo waita nimefikisha tu ujumbe.....Kitendo cha kumuita mpenzi wake single mother ameshakosea
Maisha hayana formula let her beUliamua kuwa single mother?
Ndio sis afu dunia ya sasa upate mtu akupe mapenzi yote sio kitu cha kawaida....Wanaume wenzako watakuponda mkuu kuhusu ulivyozama kwa single mother jilie mema ya nchi mkuu maisha yenyewe mafupi haya
Ukipendwaa pendeka
Ndio naoa huyu nitaleta mrejesho humu....Ukimuoa ndo utakua umethibitisha hiz maneno zako.
Lkn kama utasema kuoa nisuala jingine, basi sema tu unafurahia mzigo.
Wala usije juta hujui nini hatima yako...sijawahi kujuta wala kujilaumu kuwa single mother
Wala hata kaka nimeamua kutoa ya moyoni ili wenzangu waache fikra potovu kuhusu hawa wenzetu....Naona umeamua kuurudisha mjadala wa singo maza kijanja.