Pongezi kwenu Single Mothers
Mapenzi ni hisia. Mimi nimeoa single mother na nimezaa naye watoto wawili .Wakiume na wakike.

Yeye alishazaa wa kiume kwanza. Nampenda saana. Mapenzi yetu yalianzia primary school. Nimembikiri mwenyewe. Sisi ni wapenzi wa kwanza kwa kila mmoja. Kitabu kilitutenganisha kwa kipindi fulani. Hatimaye tupo pamoja.
 
Mapenzi ni hisia. Mimi nimeoa single mother na nimezaa naye watoto wawili .Wakiume na wakike.Yeye alishazaa wa kiume kwanza.Nampenda saana.Mapenzi yetu yalianzia primary school.Nimembikiri mwenyewe.Sisi ni wapenzi wa kwanza kwa kila mmoja.Kitabu kilitutenganisha kwa kipindi fulani.Hatimaye tupo pamoja.
we dogo mi mzazi mwenzie na huyo wa kiume wakwanza bado.nalàaaa check DN,a
 
Mapenzi ni hisia. Mimi nimeoa single mother na nimezaa naye watoto wawili .Wakiume na wakike.Yeye alishazaa wa kiume kwanza.Nampenda saana.Mapenzi yetu yalianzia primary school.Nimembikiri mwenyewe.Sisi ni wapenzi wa kwanza kwa kila mmoja.Kitabu kilitutenganisha kwa kipindi fulani.Hatimaye tupo pamoja.
Sure boss mapenzi ni hisia imefika mda tuache dharau single mothers....
 
Back
Top Bottom