Pongezi kwenu Single Mothers
Pole sana atoto. Tuwaombee kwa Mungu mama zetu wapumzike kwa amani. They fought and won a holy war, and they deserve a peaceful rest in His glory.

Aimeeeeeeen!👊
 
Last edited by a moderator:
Single mother is a choice! Some women thy chose to be/live like a man!

Some of them, Yes, we can appreciate them...but other sorry! Kuna wadada wa matatizo sana, unazaa naye, una malengo naye..ila baada ya muda unaleta visa ambavyo havieleweki kichwa wala miguu.. nakuta anaachwa.. Then utasikia, lakini haya maisha nilijitakia mwenyewe....

Au unakubali kubeba mimba ya mwanaume bila ndoa, ukitegemea kuolewa!

What about widows? are they widows by choice?
 
Ahsante sana BronDO.

Sina hata nguvu za kuongea. Bahati mbayq kuna watu wenye single mothers ila hawajui thamani ya mama zao.

I wish I could get her back even for a single minute.

Kuna rafiki yangu mmoja huwa natamani nimpe makonzi jinsi anavyomuendesha maam ake! zee zima kama mimi ila dah hasara!
 
there is a big difference btwin widow na single mother, widow amefiwa na mume while as single mum hajaolewa au kaachika which bado ni kutokana na selfishness

Brah the point here is raising kids on her own whether a widow or divorced or not married at all....They all have one thing in common.....they got no husband.....what you are talking about is the reason to be single mother.
 
Respect kwa mama yangu japo huwa wanakuwa na stress sana kuna muda wanaona kama wamelemewa sasa ufanye ujinga kidogo hasira zote anamalizia kwako.

Mungu awasaidie maana kuna muda mambo huwa yanawakaba mnoo! sperm donor hawana habari na kama ni mjane mashemeji au mawifi kila mtu na family yake.

Nimekumbuka mambo mengi!
 
For the first tym jmn single mothers naona thread positive abt them,maisha haya bana tumuombe tu Mungu,
MUNGU awape nguvu all single mothers, respect kwenu
Wewe binti uko wapi? Nitajie ID yako mpya PM....
 
Ubarikiwe kwa kuvaa Viatu hivi,inahitaji ujasiri na akili kumanage ubaba na umama at once but watoto Wetu sometimes huishi vizuri kuliko hata hao wanaoishi na wazazi wote.respect to you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom