Ktk Maisha yangu najutia sana kukutana na Binti Fulani single Mathers ana Watoto watatu.(Watoto wote Baba Mmoja)
Nilitokea kumpenda siku tu ya kwanza kumuona ilikua mwaka Jana mwezi Wa 3.
yaani nilimpenda yule single mather mpaka nikatamani kumuoa.
Jambo la kwanza ilinibidi ni nunue Kiwanja bila kumwambia nikajenga Vyumba Vitatu kuanzia mwezi 8 Mwaka 2024 kufika mwezi Wa kwanza mwaka 2025 Nyumba imekamilika ila kauli na Maelewano na huyo Mwanamke ni mabovu sana, anajiona mzuri yeye Kila Kitu Yuko sahihi, mda wote mtu wa kunitoa kasoro tu
Kwa kua nampenda Kila ninalolifanya kwake baya, kufikia Mwenzi wa kwanza nikaanza utaratibu wakumpotezea, ile nyumba nikakabizi madalali waipangishe nichukue Kodi Maisha yaendelee.
kiuhalisia naichukia sana kumpenda mtu ni miongoni mwa upumbavu ni Kumpenda mwanamke.