Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Oyaaaaa dah π€£π€£Nadhani moja ya kazi ngumu kabisa kwangu ambayo siwezi kufanya ni kuimba kwaya pamoja na kushona sare hasa za vitenge!.
Wanaume mnaimba kwaya mnastahili pongezi mwenzenu yameshanishinda.
Ile kusema tu nawahi zoezi la kwaya Daaah huwa nikisikoa mwanaume anasema hivyo hadi nastuka!
Kwamba wenzetu mnawezaje wakuu?
Wengine kwenda kwa fundi kushona suruali ya kitambaa ni mziki mwingine hii kwenu inawapa wepesi kivipi mnashona sare mfanano na wanawake.
Mara yangu ya kwanza na mwisho kuimba kwaya ni pale nahitimu darasa la saba. Niligundua habari za kwaya si pigo zangu.
Maana pamoja na kufundishwa style za kucheza siku ya mahafari niliona kabisa hii ni adhabu kubwa kwangu.
Anyway hongereni sana wenzenu hatuyawezi kwa hakika.View attachment 3516712View attachment 3516713
Nadhani kwa hili mwanaume analetewa tu ishashonwa baada ya mkewe kuchukua shati na suruali yake na kupeleka kwa fundi kuchukua vipimo na kushona.inawapa wepesi kivipi mnashona sare mfanano na wanawake.
kwakweli kazi nyingine hizi duhbora waimba kwaya je waimba taarabu
Pesa inaweza kukupeleka sehemu ambayo sio sahihi kwa jinsia yakokwakweli kazi nyingine hizi duh
Hakika an maokoto yanatudrive crazy dahPesa inaweza kukupeleka sehemu ambayo sio sahihi kwa jinsia yako
Hii lazima ukubali kuna pigo zingine uwachie wenye nazo.πππππ nimecheka kwanguvu daaaah
Mkuu hapana kwakweli hapanaHata sio ngumu ni swala la Maamuzi tuu
Vijana wengi naona ndio kama wanaenda chimbo la kutafuta pisi, wachakate mbunye sio kingineJikane nafsi yako ndiyo utaweza kuimba kwaya na wake za watu na mabinti za watu. Vinginevyo utashikwa na tamaa za uzinzi na uasherati na kuishia kuwalabua wanakwaya
Maamuzi tuuMkuu hapana kwakweli hapana
π π Mkuu kwamba maamuzi tu ausio, kumwaga uno madhabahuni kwakweli yataka moyo,Maamuzi tuu
Choie Zinginge unatikisa tuu kichwaπ π Mkuu kwamba maamuzi tu ausio, kumwaga uno madhabahuni kwakweli yataka moyo,
Wala urojobora waimba kwaya je waimba taarabu