Pongezi kwenu wanaume mnaoimba kwaya. Wenzenu yametushinda

Pongezi kwenu wanaume mnaoimba kwaya. Wenzenu yametushinda

Nadhani kwa hili mwanaume analetewa tu ishashonwa baada ya mkewe kuchukua shati na suruali yake na kupeleka kwa fundi kuchukua vipimo na kushona.

Mwanaume akitakiwa aende personally kushonesha mbona watachoka kusubiri, labda kama ni upinde
Mkuu wapo kabisa hufanya wenyewe na hupendekeza hata mashono yaweje. Acha tu watu tunatofatiana asee
 
Kama kushona sare ya kwaya unaona kazi hivi, vipi siku mkeo akikushonea shirt la kitenge atakachobakiza kwenye mshono wake utavaa kweli? Ila umefanya nicheke sana


Mkuu hayo tumeshajadiri. Akinishonea kitenge hakitavaliwa hata siku1. Ukisoma hapo nilisema kuwa kipindi nafunga ndoa tulipewa vitenge vingi mno tulijaza majaba mengi sana wife akajichanganya akanishonea shati la kitenge na yeye gauni sikuwahi kuvaa.
 
Nadhani moja ya kazi ngumu kabisa kwangu ambayo siwezi kufanya ni kuimba kwaya pamoja na kushona sare hasa za vitenge!.

Wanaume mnaimba kwaya mnastahili pongezi mwenzenu yameshanishinda.

Ile kusema tu nawahi zoezi la kwaya Daaah huwa nikisikoa mwanaume anasema hivyo hadi nastuka!

Kwamba wenzetu mnawezaje wakuu?
Wengine kwenda kwa fundi kushona suruali ya kitambaa ni mziki mwingine hii kwenu inawapa wepesi kivipi mnashona sare mfanano na wanawake.

Mara yangu ya kwanza na mwisho kuimba kwaya ni pale nahitimu darasa la saba. Niligundua habari za kwaya si pigo zangu.

Maana pamoja na kufundishwa style za kucheza siku ya mahafari niliona kabisa hii ni adhabu kubwa kwangu.

Anyway hongereni sana wenzenu hatuyawezi kwa hakika.View attachment 3516712View attachment 3516713
Ukitoa visepe nilivokua navalishwa na bimkubwa nikiwa kichanga, sijawahi vaa ngua ya kitenge mwilini mwangu. Na itakua hivo mpaka kufa. Na nikifa wakanivalisha nguo ya kitenge nadhani nitafufuka kwa muda nitembeze kichapo.
 
Ukitoa visepe nilivokua navalishwa na bimkubwa nikiwa kichanga, sijawahi vaa ngua ya kitenge mwilini mwangu. Na itakua hivo mpaka kufa. Na nikifa wakanivalisha nguo ya kitenge nadhani nitafufuka kwa muda nitembeze kichapo.
Mimi suruali ya kitambaa kwenda kupima kwa fundi mara ya mwisho ilikuwa 2008 sasa habar za vitenge au sare ndo haiwezekani tena.
 
Kama kushona sare ya kwaya unaona kazi hivi, vipi siku mkeo akikushonea shirt la kitenge atakachobakiza kwenye mshono wake utavaa kweli? Ila umefanya nicheke sana
Ninalo shat mwaka wa nane huu wife ali-force kunishonea mara ya mwisho kulivaa ni siku ile aliponiambia namkumbuka akisema “vaa bwana,jaribu tu halafu jiangalie kwenye kioo utakavyopendeza”

Nilipolivua pale nilipoliweka hata sijawahi kuligusa tena mpaka leo nilimwambia tu mambo ya kuvaa kama Mobutu siwezi.
 
Mimi miaka hiyo nilikuwa mwanakwaya kwa jambo moja tu
mademu!

Ila kwayamasta akanizidi kete alinizid speed pimbi yule
Anachomekea mkanda nje na moka zake akala mpaka mchepuko wa mch wetu
alikula mademu kwaya nzima!

Ngoja nikale ganja muda umefika.
Ila kuna watu kwenye mambo ya kuchakata wamebarikiwa,mim hicho kipaji nilinyimwa,yaan unakula kwaya nzima na wote wanafahamu,ila wanawake nao yaan wanapenda sana ushindan wa kupindua wenzao

Haya niliyaona shule kuna vijana walkuwa vitombi hatar na wanajulikana kabisa lakin akitongoza demu haruki mpaka walikuwa wanatunyang'anya madem afu ajabu dem akiwa na msela wa hvyo eti anataka umdhibiti jamaa asiwe na madem wengine wakat anajua kabisa msela huwa ni kitombi

Nilikuwa nacheka sana jinsi madem walivyokuwa wanalizwa na hawa jamaa
 
Back
Top Bottom