Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
-
- #21
Kwani vitu yaani unawaza bado unaona kwako haiwezekani kabisa.Dah wanachekesha kweli kweli ila ndiyo vile kila mtu na vile anavyoona ni sahihi kwake
Mkuu wapo kabisa hufanya wenyewe na hupendekeza hata mashono yaweje. Acha tu watu tunatofatiana aseeNadhani kwa hili mwanaume analetewa tu ishashonwa baada ya mkewe kuchukua shati na suruali yake na kupeleka kwa fundi kuchukua vipimo na kushona.
Mwanaume akitakiwa aende personally kushonesha mbona watachoka kusubiri, labda kama ni upinde
Mimi siwezi aisee labda waniuwe bwanaKwani vitu yaani unawaza bado unaona kwako haiwezekani kabisa.
Lakini kwa mwingine ni kawaida kabisa.
Sahihi aseePesa inaweza kukupeleka sehemu ambayo sio sahihi kwa jinsia yako
Walimu wa kwaya hujipimia vile wanataka.Mimi miaka hiyo nilikuwa mwanakwaya kwa jambo moja tu
mademu!
Ila kwayamasta akanizidi kete alinizid speed pimbi yule
Anachomekea mkanda nje na moka zake akala mpaka mchepuko wa mch wetu
alikula mademu kwaya nzima!
Ngoja nikale ganja muda umefika.
Ndio maana wanaume waimba kwaya wanastahili pongezi wengine hatuwezi ni pamoja na hilo pia.Jikane nafsi yako ndiyo utaweza kuimba kwaya na wake za watu na mabinti za watu. Vinginevyo utashikwa na tamaa za uzinzi na uasherati na kuishia kuwalabua wanakwaya
Kama kushona sare ya kwaya unaona kazi hivi, vipi siku mkeo akikushonea shirt la kitenge atakachobakiza kwenye mshono wake utavaa kweli? Ila umefanya nicheke sana
Mkuu unaimba kwaya?Aiseeeeeee
Ukitoa visepe nilivokua navalishwa na bimkubwa nikiwa kichanga, sijawahi vaa ngua ya kitenge mwilini mwangu. Na itakua hivo mpaka kufa. Na nikifa wakanivalisha nguo ya kitenge nadhani nitafufuka kwa muda nitembeze kichapo.Nadhani moja ya kazi ngumu kabisa kwangu ambayo siwezi kufanya ni kuimba kwaya pamoja na kushona sare hasa za vitenge!.
Wanaume mnaimba kwaya mnastahili pongezi mwenzenu yameshanishinda.
Ile kusema tu nawahi zoezi la kwaya Daaah huwa nikisikoa mwanaume anasema hivyo hadi nastuka!
Kwamba wenzetu mnawezaje wakuu?
Wengine kwenda kwa fundi kushona suruali ya kitambaa ni mziki mwingine hii kwenu inawapa wepesi kivipi mnashona sare mfanano na wanawake.
Mara yangu ya kwanza na mwisho kuimba kwaya ni pale nahitimu darasa la saba. Niligundua habari za kwaya si pigo zangu.
Maana pamoja na kufundishwa style za kucheza siku ya mahafari niliona kabisa hii ni adhabu kubwa kwangu.
Anyway hongereni sana wenzenu hatuyawezi kwa hakika.View attachment 3516712View attachment 3516713
Mimi suruali ya kitambaa kwenda kupima kwa fundi mara ya mwisho ilikuwa 2008 sasa habar za vitenge au sare ndo haiwezekani tena.Ukitoa visepe nilivokua navalishwa na bimkubwa nikiwa kichanga, sijawahi vaa ngua ya kitenge mwilini mwangu. Na itakua hivo mpaka kufa. Na nikifa wakanivalisha nguo ya kitenge nadhani nitafufuka kwa muda nitembeze kichapo.
Mkuu unaimba kwaya?
Ndio maana nimetoa pongezi mkuu nikimaanisha mimi sio kuamua tu bali nimeshindwa kabisa.Ni uamuzi tu kama wewe ulivyoamua kutokuimba kwaya,heshimu maamuzi yao.
Sauti ya 4 niko hapa.
Ni sawq na fisi kufungiwa kwenye zizi la kondooHiyo siyo shida, shida ni kuimba kwaya na pisikali pembeni halafu usipate kitumbua, huo ni mtihani kwa kweli.
Ninalo shat mwaka wa nane huu wife ali-force kunishonea mara ya mwisho kulivaa ni siku ile aliponiambia namkumbuka akisema “vaa bwana,jaribu tu halafu jiangalie kwenye kioo utakavyopendeza”Kama kushona sare ya kwaya unaona kazi hivi, vipi siku mkeo akikushonea shirt la kitenge atakachobakiza kwenye mshono wake utavaa kweli? Ila umefanya nicheke sana
Hiyo ni ngumu kwa kwali.Ni sawq na fisi kufungiwa kwenye zizi la kondoo
Ila kuna watu kwenye mambo ya kuchakata wamebarikiwa,mim hicho kipaji nilinyimwa,yaan unakula kwaya nzima na wote wanafahamu,ila wanawake nao yaan wanapenda sana ushindan wa kupindua wenzaoMimi miaka hiyo nilikuwa mwanakwaya kwa jambo moja tu
mademu!
Ila kwayamasta akanizidi kete alinizid speed pimbi yule
Anachomekea mkanda nje na moka zake akala mpaka mchepuko wa mch wetu
alikula mademu kwaya nzima!
Ngoja nikale ganja muda umefika.