Pongezi kwenu wanaume mnaoimba kwaya. Wenzenu yametushinda

Hiyo picha ya chini hao ni wanamuziki wa gospel, hata pagan anaweza ku intertain tu na wanauza sana kama wanamuziki wa kawaida.

Ninavyojua wanatofautina pakubwa na hao wa juu(RC) wanaoimba kujifurahisha bila faida.
 
Asante mkuu. Lakini kwenye kuimba kwaya siku hizi wengi wanavaa majoho juu ya nguo zao.
 
Hiyo picha ya chini hao ni wanamuziki wa gospel, hata pagan anaweza ku intertain tu na wanauza sana kama wanamuziki wa kawaida.

Ninavyojua wanatofautina pakubwa na hao wa juu(RC) wanaoimba kujifurahisha bila faida.
Wa chini ni Aic hao usemavyo nikweli huwa wananunua hadi watu vijiweni wavuta bangi na waio na dhehebu lolote kikubwa wanaweza katika mauno na kurukaruka
 
Same to me baada ya kupewa zawadi za vitenge siku ya ndoa sijui alidanganywa na nani asee si akaenda kushonesha shati la kitenge sikulivaa mwisho akaligawa sijui wapi huko.

Nikamwambia kabisa habari za vitenge na surual za vitambaa siwezi.
 
Nmechelewa kwenye mazoezi ya kwaya kisa mleta mada na uzi wake
 
M Nilimpiga marufuku suala la kushonezana vitenge kuvaa saresare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…