OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ila CCM inashangaza, hivi kwa nini Samia anaogopa kugombea uchaguzi wa ndani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaKiukweli kabisa, Kwa yeyote kama una akili TIMAMU na sio Chawa, utakubali kua kilichofanyika Dodoma ulikua ni UHUNI.
Na Kwa mara ya kwanza kabisa, CCM INASIMAMISHA WAGOMBEA WASIOKUA NA MVUTO KWA RAIA.