Pongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo ayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee yaani ukifika mbezi ndio utajua aya nayoongea
Hakuna kama mama
Wizi na ufisadi vimerejea kwa kasiKuna mtu kakodi bus kuna mtu kakodi mpk ndege uko watu wanafurahi na maisha
Ni kweli mkuu,unafuu upo.Pongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo ayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee yaani ukifika mbezi ndio utajua aya nayoongea
Hakuna kama mama
hauko kwenye system mama anaupiga mwingi balaaaa kimya kimya kama fei totoPongezi mumpe mwezi January. Nyoe wenyewe ndio wakwanza kulialia kuwa January ina siku 900. Mama Samia hajapandisha mshahara wala hajaboresha maisha
Mods naomba nipewe ban ya siku mbili. Huyu mpuuzi ameanzaPongezi nyingi sana awamu ya sita na pekee kwa mama yetu sikukuu watu wamesafiri sanaaaa aijawahi tokea hii kwa kipindi kirefu sana wananchi walikuwa wakikumbizana na maisha na mambo ayakuwa mazuri sasa mambo angalau yamesababisha watu sasa wanasadiri kwenda kula sikukuu na familia na wazee yaani ukifika mbezi ndio utajua aya nayoongea
Hakuna kama mama