Pongezi nyingi kwa mama yetu kipenzi mama samia na serikali awamu ya sita.sikukuu hii watu wamesafiri sanaaaaaaa

Huyo mtoa mada maisha mazuri ameyaona wapi?
Miamala juu,ajira hamna na wahuni wanacharuana kwenye chama chetu pendwa.
Tafakari tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…