KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Naamini hamjaamka poa kwa sababu ya tozo plus timu mbovu ya Makolo.
Asubuhi yote hii napenda kuvipongeza vilabu vyote vinavyoshirikia ligi kuu Tanzania, hakika mpka sasa vimeonesha ushindani mkubwa sana. Yanga na Simba zishazoea (zimekariri) kuwa na uteja kwa baadhi ya timu mpka kwenda na matokeo uwanjani lakini hali imekuwa tofauti.Simba kwa sababu wameishi soka la kukariri wanaenda uwanjani tayari na matokeo yao uwanjani na pindi matokeo yakiwa tofauti utasikia;
1. Tumehujumiwa (tumesalitiwa)
2. Tumekamiwa
Hizo ni kauli wanatoa kuanzia uongozi mpka mashabiki wake humu ndani. Kuna shabiki wa Simba nilimuuliza ulitaka BIASHARA acheze vipi ili isionekane amekukamia (kaahihidiwa pesa)? Jibu lake utacheka ufe. Nikamuuliza pia kuna kanuni inazuia kukamia mpinzani wako? Unapenda kitonga unadhani ligi ya wanawake hii?
Jana baada ya mechi nilimsikia mhamasishaji wenu (POPOMA) Mwijaku anasema kila kitu ikiienda dar kucheza na Simba basi huwa inahudumiwa vzuri na Yanga. Hivi nyie mnashindwa nini kutoa motisha (10m) kwa timu zinazocheza na Yanga? Nyie si mpo 40m mkichanga buku buku si mna hela nyingi nyie?(Hata kama Mwamedi kasusa).
Hata sisi Chelsea moja ya timu bora duniani tulipata sare manzoni kabsa mwa msimu lakin tuliona ndo mpira.
Navishauri vilabu vyote KUKAZA zaidi pindi mnapokutana na either YANGA au SIMBA na mkifanikiwa kupata sare au ushindi basi mtapata faidia zifuatazo:
1. Timu yako itaongeza mashabiki
2. Kuna uwezekano mkubwa timu yako kuuza wachezaji wengi zaidi (Fatilia historia ya Azam na Mtibwa Sugar n.k)
3. Mtapata heshima kubwa kwenye jamii na pengne kuogopeka kabsa maana utaitwa Mchawi nguli na mapopoma kama Mightier.
4. Mechi zenu zitafatiliwa na watu wengi zaidi iwe ndani au nje ya Tanzania.
Shabiki yeyote duniani anapenda kuangalia mechi ya kibabe, kikatili siyo timu inaingia uwanjani inapigwa 7-0 daily. Ongezeni ukatili zaidi ligi kuu ili tuendelee kufurahia soka hata kama mkikamia Yanga yangu sawa tu maana ndo furaha yenyewe.
Wachambuzi uchawara kama GENTAMYCINE
okwi Bobani wapo bize kutafuta kocha. Kutafuta waganga wazuri. Wanaamini Mganga atacheza namba 9🤣🤣🤣🤣🤣
Makolo Mlibwaji.......................