Pongezi nyingi kwa timu za Ligi Kuu isipokuwa Yanga na Simba

Bro ebu weka ushabiki pembeni,nijibu.

Kwanini Simba ikipata sare au kufungwa mnasema mmekamiwa?Kukamiwa ni kubaya?Mnapenda kitonga?
Tunataka mechi ichezwe bila hujuma hata kama Simba Sc ikifungwa ni matokeo. kuna mechi Simba inachezewa rafu sana mpaka unajiuliza zile ni ngumi au football. achana na kinachoonekana hadharani, haya ya mafichoni tunayajua zaidi
 
Kuna HUJUMA yeyote Simba amewahi kufanyiwa na una ushahidi nayo?(Nikusaidie)
 
Back
Top Bottom