Uchaguzi 2020 Pongezi nyingi sana kwa Lissu, Mkewe, Uongozi wa CHADEMA na Watanzania walioshiriki kwenye kampeni za CHADEMA

FARAJA NAY
FARAJA NAYO NI TIBAA. ILA KUGARAGAZWA KWAKE KUKOPALEPALEE
 
MBONA UNAWEWESEKA MAPEMA?? JIANDAENI KUVUNA MAJIVU MULIYOYAPANDA.
 
Napenda kuchukua fursa hii kumpongeza sana Lissu kwa kampeni zake za hali ya juu na zilizokuwa na mahudhurio makubwa sana kila kona ya Nchi yetu uliyopita. Lugha zako za upendo ulizotumia na kutugusa mamilioni ya Watanzania Wazee, vijana na hata watoto. Ulikutana na vikwazo vya aina mbali mbali lakini vyote kwa ujasiri wako mkubwa ulivuka salama[emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1534][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]
 
Kamuacha mtu hoi huko... sidhani kama ana hamu na wabongo!

Daah nilijua tuna gari madhubuti kumbe ni la mkaa... tripu shamba tripu nne gereji!!

Hongera Lissu!!
[emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1536][emoji1536][emoji1536][emoji818][emoji818][emoji818][emoji617][emoji617][emoji617][emoji777][emoji777][emoji777]
 
Ilikuwa faida kubwa sana kwake kusubirishwa kule...
 
Reactions: BAK
Kwa ujasili huo umenifanya nimpigie kura yangu kwani huyu mtu ameonesha Nia thabiti kuwa anaweza kutuongoza na siyo kututawala
 

Kavuu ndio wapi mkuu? Ni vizuri utaje mahali ilipo, Kijiji, mtaa, wilaya na mkoa. Ww Ni gwiji humu jukwaani mbona unaripoti kwa kiwango duni!
 
Sikuwa na uhakika kama angepitishwa kutokana na figisu zilizozoeleka na jinsi alivyooneshwa wazi kwamba angekuwa threat kwao! Hata hivyo hapo kwenye RED nilikuwa na uhakika hilo lisingetokea!

Nakumbuka miezi kadhaa iliyopita Pascal Mayalla aliwahi kuleta thread yake hapa kuelezea shaka yake ikiwa Tundu Lissu angeweza kurudi! Bila kumung'unya nilisema wazi kwamba TL lazima arudi kwa sababu pale alipo tayari keshakuwa radioactive material!

Unless Jiwe na Genge lake wawe ni wapumbavu waliopitiliza ndipo wanaweza kuikaribia radioactive material! Na kwa kawaida, madhalimu sio wapumbavu na ndio maana huwa wanafanikisha udhalimu wao!

All in all, am very impressed na energy aliyokuwa nayo! Kuhimili miezi miwili ay mchaka mchaka kwa mtu ambae kwa muda mrefu alikuwa less active si jambo dogo!!

Anyway, ameshatimiza wajibu wake kwa kiwango cha juu kabisa, kilichobaki ni wajibu wetu Watanzania kuanzia alipoishia!!
 
Hakika mkuu TAL ametimiza wajibu wake kwa kiwango cha hali ya juu sana toka mfumo wa vyama vingi uanze. Amepambana na vikwazo vingi hyu MWAMBA!amejipambanua kama Martin Luther King Jr wa wakati huu katika nchi hii. Ametufundisha na amefundisha vizr sana elimu na haki zetu juu ya uonevu wa waziwazi kabsa wa mamlaka.
Kwa wale walioko mashuleni na viuoni Tundu Lissu amehamasisha watoto wetu kujifunza kutokata tamaa asilani katika mapambano yoyote ya kupiga vita iwe ni ujinga na umaskini.
Pia ametufundisha kuwa vikwazo vyote vyote Kati maisha lazma tupambane tuvishinde na tuskate tamaa.
Ametufundisha kuwa Aina yoyote ya ulemavu wa viungo si kigezo cha kukata tamaa hapana!ametuonyesha kuwa kiongo kikuuu cha kufikili ni Ubongo hvo wale wasio na mikono ama miguu ama kiongo chochote ni watu makini kweny mstakabar wa Taifa letu.
Ametufundisha wafanyabiashara wanasiasa wakulima na wafanyakazi katika sekta mbalimbali kutokata kuwa majasir na kutokata tamaa asilani katika kutetea ndoto za juhudi zao.
Shime Shime Watanzania Wote tujitokeze leo hii tukapge Kura za Kishindo ili tuchague Upande wa Sera zitakazotufanya tufurahie maendeleo yetu na uhuru wa maisha yetu na vizazi vyetu!!

PIGA KURA Kwa Tundu Lissu Bila kufanya MAKOSA !!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Speechless!!!

Moja ya picha ambazo mara kwa mara huwa zina-flash ni kumbukizi za miaka kadhaa iliyopita wakati nikiwa kijana mdogo wa shule!!

Ni flashbacks za TL akifanyiwa mahojiano mara kwa mara na Channel 10 (au CTN, sikumbuki vizuri)

Jinsi ambavyo TL alivyokuwa anamchana Mkapa LIVE kwa kutoa mikataba ya kifisadi ya madini!!

Jinssi TL alivyokuwa anawachana African Barrick Gold na ushenzi wao to the point image ya African Barrick Gold ikaharibika kabisa duniani na kuamua kuiuza lakini hawakupata mnunuzi, na ndio CEO mpya akasema tubadilishe jina na hatimae ikaitwa Acacia!!

Halafu leo wanatokea wapumbavu eti TL anatumiwa na mabeberu... lau kama wangejua ni namna gani hao mabeberu, hususani wa sekta za madini wangependa kuona TL anakufa kabisa, wala wasiongea!!!
 
Hakuna chama cha upinzani kinachoweza kuishinda CCM kwa sasa. Hilo genge la wahuni wa saccos, kushika DOLA sio leo wala kesho. Watanzania wazalendo hawawezi kabidhi nchi kwa kikundi cha watu Sita, ambao hata ofisi hawana ndio wawe watawala haitakaa itokee. So ni upunguani ulioje kuamnini huyu wakala wa mashoga na wasagaji anaweza kuwa Rais. Safari ni fungu la kukosa kila kitu. Wapambe lieni, chekeni habari ndio hiyo. Magufuli ndiye Rais wa Tanzania.
 
I have new respect of this song because of Lissu the GREATEST.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…