Uchaguzi 2020 Pongezi nyingi sana kwa Lissu, Mkewe, Uongozi wa CHADEMA na Watanzania walioshiriki kwenye kampeni za CHADEMA

KAVUU ni Znz, au?
 
ndani ya Tume kuna mtu wangu ambaye baada ya jambo lile alininong'oneza kwamba katika fomu za Lissu hakukukutwa hata kosa moja la kusingizia , tume nzima ilishangaa!
T.A. Lissu ni kichwa kweli kweli.

Inasemekana fomu ya mmiliki wa PhD ilikuwa na makosa lukuki!
 
Halafu pamoja na yoyote hayo hawatoamini baada kuona kaambulia 29%
Just thinking aloud, nikiwa nimepanga foleni kusubiri kupiga kura right now at 06:25
 
Nilikiwa na hofu juu ya afya yake kama angemudu kusimama majukwaani.
Mwogopeni sana Mungu
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mtu amepanda mbegu muhimu sana kwa Watanzania "UJASIRI"
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kutoa pongezi kwa msaliti wa Nchi haikubaliki
 
Hao walipewa alert wawe kwa camps na wasitembee mmoja mmoja imekuaje wapuuze na tulijua yote haya?
 
Pongezi nyingi za dhati Zimuendee pia Mr Kigogo na timu yake huko walipo wamefanya kazi ngumu usiku na mchana ! Kusimia haki ! MUNGU AWABARIKI SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…