Kanyamulano
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 905
- 872
Lissu have done
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutafika tu inshallah3 hours ago Mkuu.
KAVUU ni Znz, au?ALERT
👉Taarifa toka jimbo la Kavuu nikuwa mawakala 30 wa CHADEMA wamekamatwa na polisi waliokuwa wanajiandaa kwenda kwenye vituo..
@tanpol Sirro ndiyo maana tunataka kukupeleka ICC kwa huu upumbavu wako unaofanya na CCM
@TumeUchaguziTZ who is instructing this to be done?
T.A. Lissu ni kichwa kweli kweli.ndani ya Tume kuna mtu wangu ambaye baada ya jambo lile alininong'oneza kwamba katika fomu za Lissu hakukukutwa hata kosa moja la kusingizia , tume nzima ilishangaa!
Halafu pamoja na yoyote hayo hawatoamini baada kuona kaambulia 29%Mimi nakumbuka September 7, 2017 alivyopakiwa kwenye ile ndege.
Hivi kuna yeyote siku ile aliamini miaka mitatu baadae Tundu Lissu atafunga kampeni za Cdm kama mgombea Uraisi?
Na baada ya kupona, na jinsi CCM na vyombo vyake walivyokuwa wamefura kwasababu Tundu Lissu amepona, kuna aliyeamini atarudi Tanzania chini ya utawala wa Magufuli?
Na baada ya kurejea nchini, na kupitishwa kugombea Uraisi, na kuanza kutafuta wadhamini, na mahakama kuanza kumnyatia. Kuna aliyeamini Polisi hawatamkamata na kumnyima dhamana?
Halafu siku ile ya kurudisha fomu, na jinsi alivyosubirishwa mpaka usiku mzito. Je, ni wangapi waliamini hatapitishwa na Tume?
Na hata alivyoanza kampeni ni wangapi walitegemea atamaliza salama?
Mimi nakumbuka September 7, 2017 alivyopakiwa kwenye ile ndege.

..Nadhani walitafuta kila sababu ya kumuengua ikashindikana.
..Sasa angalia vikwazo ambavyo kampeni yake wamepitia.
..mashambulizi toka kwa CCM, Kamati ya Amani, Igp,Nec, Msajili, Tcaa, Tcra, na wengine.
..angekuwa mtu wa kawaida angevunjika moyo na kubwaga manyanga.
..Tunashukuru kwa kampeni zake, na tunamuombea USHINDI.
Uchaguzi huu magufuli yupo tayari kuua maelfu ya watz ili tu li ccm lao liendelee kuwanyonya watzHii damu isiyo na hatia, aliyeamuru imwagwe, itampeperusha kwa tufani Kali kuliko Tsunami, kutoka kwenye kiti chake Cha enzi Hadi sakafuni mavumbini
View attachment 1614194
Sasa si mkinukishe?
Hao walipewa alert wawe kwa camps na wasitembee mmoja mmoja imekuaje wapuuze na tulijua yote haya?ALERT
[emoji117]Taarifa toka jimbo la Kavuu nikuwa mawakala 30 wa CHADEMA wamekamatwa na polisi waliokuwa wanajiandaa kwenda kwenye vituo..
@tanpol Sirro ndiyo maana tunataka kukupeleka ICC kwa huu upumbavu wako unaofanya na CCM
@TumeUchaguziTZ who is instructing this to be done?