Pongezi Rais Magufuli kuboresha Utumishi wa Umma, Watia nia kuachia ofisi: Mawaziri Igeni

Naomba kueleweshwa hivi hao watia nia wanaotakiwa kuachia vyeo vyao ni watumishi wote wa umma au wenye vyeo vya kuteuliwa na Rais?
 
Kuwa mtumishi wa umma ni janga lingine katika nchi hii maana mwajiri wenu mwenyewe hawathamini pamoja na kazi kubwa mnayofanya
 
Uroho safari hii hauna nafasi .Watu walikuwa wakikaa maofisini wanawaza siasa tu na kutia Nia kazi haziendi simu mtu anaongea kutwa na kamati zake za fitna wapambe wake ili ateuliwe ugombea

Sasa ni kusuka au kunyoa kagombee ila ofisi uachie wengine wachukue na usirudi Tena yakikushinda utajijua
 
Hajaboresha utumishi wa umma bali amechoka kutengua na kuteua sasa anataka kutumia fursa ya kujaza nafasi zitakazoachwa na watumishi wa umma watakaochaguliwa nafasi za kisiasa. Kabla ya uchaguzi atakuwa na kazi nyingi za kuteua MaDC, MaRC, MaDED na wengine kujaza nafasi zitakazoachwa na wenye nafasi hizo sasa watakopoomba kugombea ubunge wa Bunge dhaifu wakiamini litabaki kuwa hivyo maana wanajua Ndugai dhaifu atarudi Bungeni kwa mbinu zilezile za rungu au kali (hengo) zaidi. Watumishi namna hiyo ambao hawatachaguliwa watapewa uteuzi mwingine hawataweza kuachwa tu bila kipato kwa kuwa ni makada wa Chama Tawala. Baada ya uchaguzi hali itakuwa mbaya zaidi kama CCM itabaki madarakani maana kutakuwa na Serkali dhaifu zaidi, Bunge ndiyoooo hata Mahakamà itakuwa Idara ya Serkali mihimili yote mitatu itakuwa kwenye mhula wa lala salama wa kulimbikiza mali na kusifiana.
 
We hujui kusoma trends za siasa nenda kalewe Bar usubiri October utapata majibu
 
We hujui kusoma trends za siasa nenda kalewe Bar usubiri October utapata majibu
Mimi sisomi trend nasikiliza kauli ya Raisi Magufuli ninayemuamini hayo ma trend kayasome mwenyewe
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…