Kwani unafikiri yeye hajui kutimua mbioPascal Mayala ukuje hapa kuna maswali hayana majibu kuhusu hizo takwimu zako zinaonyesha mwaka 2000 - 2011.
Kwani unafikiri yeye hajui kutimua mbio
Mkuu Pascal Mayalla 2000 to 2011 ni utawala wa awamu gani?
2000 - 2011 hapo nilikuwa hata sijazaliwa.
2000 - 2011 hapo nilikuwa hata sijazaliwa.
Watanzania tujifunze kusoma ni ripoti ya lini!. Ripoti hii ni Ripoti ya mwaka 2019 regardless data zilikuwa collected lini, validity ya ripoti yoyote ni the date of publication of the report na sio dates of data collection, hivyo as of now, Tanzania ndio inaongoza kwa kupunguza umasikini uliotopea kwa mwaka huu 2019!.Hata kama iwe 2000-2015 abadilishe tu, aseme tunaipongeza CCM kwa juhudi za kupunguza umaskini uliotopea.
Tuisubiri na ripot ya 2015-2025.... ndiyo tuitaje hii awamu pendwa.
Huyu zezeta mleta uzi ni kila.zA. number 1 Tanzania
Ha haaa 。Ila na wewe ulisha ingizwa chaka kwa kupenda kusifia sifia tu hata kwa mambo ya kawaida Mkuu.
Mini nimejiuliza kurudia rudia kule kwa kutoa sifa na angalizo alikuwa anajihami dhidi ya watu kumshushua kwa data zake mwenyewe alizo zileta. Ndiyo maana watanzania wengi hatujielewi, hakika elimu ndogo ni sumu!Mkuu Pascal Mayalla 2000 to 2011 ni utawala wa awamu gani?
Najizuia kucheka. Performance inayozungumziwa ni iliyotajwa kwenye taarifa ya utafiti yaani 2000 to 2011. Impression yako ni nzuri ila haina "back up" ya utafiti kama huuRipoti ni Ripoti ya mwaka 2019 regardless data zilikuwa collected lini, validity ya ripoti yoyote ni the date of publication na sio dates of data collection.
P
Kwa sasa unaona takwimu hizo zimeshuka?magufuli hana cha kuweza kupongezwa kwa kuwa ni elfu mbili mpaka elfu mbili kumi na moja KIKWETE apokee pongezi hizo wala yeye magu haingii hapo.
Wasaka teuziMaisha mtaani magumu!!watu wanaishi kwa mlo mmoja ninyi mnapiga matalumbeta ya sifa.Mungu anawaona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ripoti ni ya mwaka huu!, 2019!.Umeniwahi Mkuu ,mimi nimeshangaa Mtu akipenda Chongo haoni wala hasikii.Kakutana tu na Report kaja huku kupongeza na kusifu.
Cha kuongezea ,ipo tofauti ya Umasikini uliotopea na Umasikini wa kawaida.
Pascal Mayalla ,punguza Joto Mkuu.