Mkuu Josam, kwanza asante kunidogosha kwa news zangu kuziita vinyuzi!. Humu jf mimi sijawahi kusema nimefanya research yoyote, hivyo naomba nisijibu kuhusu school ipi. Wajameni, Watanzania tujifunze kusoma ripoti, ripoti hiyo ni ya mwaka huu.
Mkuu Josam,hata kama wewe ulioa mwaka 2000, lakini ukashindwa kuijibisha ndoa yako,
JF ikifanya utafiti mwaka huu wa 2019 na kutoa ripoti yake mwaka huu kwa title ya couples ambazo hazijabahatika kupata watoto mwaka huu 2019, wanaongozwa na Josam. Ripoti hiyo ni mwaka huu, 2019, hata kama wewe ulioa 2010 na mpaka leo hujapata mtoto, huwezi kusema kuwa wewe hustahili kwasababu ulioa 2010!.
Hiyo ni ripoti ya mwaka huu 2019, Tanzania ndio inaongoza, ile pale iko top, hata kama data collected ni data za mwaka 2011, top of the chart ni Tanzania.
Angalieni Rekodi za Olimpiki, mwaka 1974, Filber Bayi alivunja rekodi ya dunia ya mbio za mita 1,500 na mwaka 1975, akavunja rekodi ya Commonwealth ya mbio hizo. Mpaka leo mpaka kesho, kwenye kila michezo hiyo, record holder ni Filbert Bayi, kwa sababu bado rekodi yake haijavunjwa!.
P